Usithubutu kumshirikisha Ndugu kwenye Mafanikio yako, Utajuta. Yamenikuta

USIMSHIRIKISHE NDUGU KWENYE MAFANIKIO YAKO HATA SIKU MOJA. ACHA AJE AJIONEE MWENYEWE SIKU IKIFIKA.
Hapa unataka kutoa conclusion kwa just only one sample space or only one event like a coin flip game umepata tail ukahitimisha kuwa coin ina tail pekee na sio head and tail.
Inabidi Kila mtu afanye ivyo kwa ndugu zake wote yaani watu wote duniani tuje kucheki average, median, range, mie Kuna ndugu yangu amenisaidia mtaji nikalipia fremu nilipomshirikisha wazo langu la kufungua biashara niliyo nayo.
Sasa hapa utasemaje kuhusu ndugu yangu,mie ndugu akanisomesha na mpaka kuniozesha mke wangu kwa gharama zake mwenyewe.
Labda na wengine walete shuhuda wa ndugu zao ili tufanye mathematics tutoe jibu Ila ubongo wako ama wangu unao flaws katika kufanya maamuzi na hitimisho. We need to measure what we're speaking and thinking.

Pia suala la mtu kuwa na tabia sio suala la ndugu ni suala la ubinadamu Kama mtu ni mwizi mbona mpaka anaibia mzazi wake ama mwanae, Kama mtu ni mzinzi anatembea mpaka na nduguze yaani Ile tabia yake ni kiu ama shetani lake huwa linamsukuma ajipatie kinywaji chake ili apumue, let say Kama mtu anabeti ama anakunywa mpaka anywe ili aridhike, Kama mtu anamsengenya mtu lazima afanye ivyo ili aridhike. Nishawahi kutana na binti mmoja akaniambia bila ya ku du na wanaume wawili per day hawezi lala
 
JF kuna watunzi wa chai wa kutosha na ubaya hawana kumbukumbu kabisa.
 
Mkuu uko vizuri,inaonyesha Mtoa mada imemuumiza kwa ndugu yake wa damu kufanya hivyo,kiasi Cha kujumlisha kila ndugu wa mtu yoyote.Wengi tumepitia kwa ndugu, Mimi mmoja wapo Baada ya baba kufariki,nilisaidiwa sana na wajomba zangu,nao watoto wao niliwasaidia sana pia,imeenda binamu yangu Mmoja, mtoto wa huyo mjomba,kanilipia ada ya chuo mwanangu kwa kukosa mkopo.Wapo ndugu,marafiki wazuri na pia wapo ndugu,marafiki wabaya!Ni kuwa makini tuu.
 
Maisha ni coin flip game sema wengi hatutaki kuyakubali. Nashukuru mno kwa kunielewa nilichomaanisha. Kuna ndugu/marafiki/majirani hawataki/wanataka kukuona unafanikiwa , just elewa Maisha ama dunia ilivyo then move with it. Kuna hata mme/mke wako hataki utoboe
 
The ultimate ignorance is the rejection of something you know nothing about yet refuse to investigate... umaskin unao affect Hadi akili unasumbua waafrika wengi wa aina yako..kwahio hapo umejisikia furaha sana na umekua tajiri? Sometimes usitumie nguvu kubwa kutafuta furaha kwenye kufanya ujinga na upumbavu
 
Umefaidika nini kuandika hivyo wewe maiti mwenzangu mtarajiwa?
 
Msipende kuchukulia maandiko ya watu serious sana.
Huyu aliendindika ameonyesha kabisa Kwa juu kwamba amekopi mahali.
Watu mnamshambulia na kuleta maandiko yake ya nyuma
Kuna watu hukopi na kupaste humu iwe kama changamsha genge.
 
Msipende kuchukulia maandiko ya watu serious sana.
Huyu aliendindika ameonyesha kabisa Kwa juu kwamba amekopi mahali.
Watu mnamshambulia na kuleta maandiko yake ya nyuma
Kuna watu hukopi na kupaste humu iwe kama changamsha genge.
Anabidi kujitathimini maana kuna siku inaweza kutokea yupo na shida watu wakampuuza.

Ni vizuri kutumia platform za mitandao vizuri na sio kutafuta attention.
 
Hapa umeleta story ya upande mmoja na sisi kama mahakimu tubaonba ndugu yako aje na story yake ndio tamko litoke.

Unajua wengi huwa tunafanya maamuzi kwa kusikiliza ilihali ukweli ndugu waujua
 
Mchawi wa kwanza kwenye maisha ni ndugu
 
Kwa hiyo ndugu yako akiwa kilaza ,unalazimisha na ndugu wa wengine wawe vilaza kama huyo wa kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…