Usithubutu kumshirikisha Ndugu kwenye Mafanikio yako, Utajuta. Yamenikuta

Ndugu ni hasara tupu wakati mwingine, sisi kwetu tulijitahidi kusaidia ndugu zetu ila kila mara walikuwa wanaturoga wakishirikiana na Mama yao ambaye alikuwa ana wivu na dadake (Mama yetu).
 
Ukimjua adui yako umeshinda vita kwa asilimia kubwa, tafuta namna ya kumwonyesha unaelewa anachofanya kwako.
 
Wengine ndugu zetu ndio wametupa connection
 
Kwa wadada wa jf wewe dada ni muongo sana🙌🙌, sijui huko mtaani kwako kama unafanya yaliyo mema. Hakuna akutendeaye baya hujamtendea baya!!, Naamini ubaya juu ya ndugu yako uliuanza wewe yeye si chizi akuponda hadharani!?
 
Una ushamba mob
 
Huyo ni ndugu Yako ww sio ndugu yetu ..roho ya ndugu Yako ww sio sawa na wakwetu ...wengine hizo supermarket wamefunguliwa na ndugu zao
Alaf kingine kama bidhaa zime expire kwann asiseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…