Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.

Sijui kwanini Wema unaniponza mno.
 
Kuanzia sasa ( leo ) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.

Sijui kwanini Wema unaniponza mno.

[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni upuuzi wakirudiana wewe lazma uonekane mbaya wao
Yani inatakiwa ukiona hata wamebebeana mashoka
We waambie PASUANENI
 
Uko sahihi kabisa,tena bora uongoke zako uwaache tu.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Unamuokoa kabisa Shemeji yako ambaye unaona anaenda Kupigwa Risasi na Mumewe halafu Mkewe ( Shemeji huyo ) anakuambia hamtaki tena Mumewe na anaondoka baada ya Siku Tatu unawaona wako pamoja Baa na unawasikia kabisa Wakikuteta na Kukuchukia kuwa unataka Kuwaachanisha.

Na hawa kwa ninavyowajua hawatakaa Siku Tano (5) lazima tu Watagombana na Silaha pekee ya Mumewe ni Kuchomoa Pistol yake kumnyooshe Mkewe hivyo Safari hii Wakigombana wakinishirikisha kwakuwa nipo nao Jirani Jibu la haraka nitakalowapa ni Kuwaambia UANENI TU TUTAWAZIKA.

Nimekereka mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni upuuzi wakirudiana wewe lazma uonekane mbaya wao
Yani inatakiwa ukiona hata wamebebeana mashoka
We waambie PASUANENI
Ndiyo ninachoenda Kukifanya sasa Mkuu.
 
ignore mkuu hutoona post zake hatoona post zako
Hi itasaidia Kumrekebisha? Kwanini Mimi nikiwajibu Watu hovyo hapa huwa mnakimbilia Kunishutumu na kutaka nipewe BAN ila Wanaonifanyia hivyo kama huyu huwa mnanyamaza ( hamsemi lolote ) na mnakimbilia kusema nimu Ignore? Nachukia sana Unafiki na Sanifu Mkuu sawa?
 
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.

Sijui kwanini Wema unaniponza mno.
Hunaga kazi za kufanywa?
 
Back
Top Bottom