Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.

Sijui kwanini Wema unaniponza mno.
Je nawale wanaume ugomvi kidogo kashapigia simu ndugu zake na kuwajulisha, hata kama ni mambo yakusawazisha mwenyewe lakini ukoo mzima unajua kama leo flani wameng'atana na mkewe, toa neno hapa!
 
Kuna kitu nmeshagundua,
Skuhzi Genta akishaanzisha uzi
Kuna Wahuni washamjulia madhaifu yake
Watamchokonoa kusudi ili akasirike haraka atukane, apigwe ban arudi kule mafichoni alikotokea[emoji1787][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ana andika pumba hana hoja na hajui kutetea anacho kiandika yani hasa hebu niambie alicho andika hapa leo ndio nini?
 
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.

Sijui kwanini Wema unaniponza mno.
Wakimaliza ugomvi wanaanza kukusema.
 
Genta akishaleta uzi Kama kawaida,
Wahuni wa Wanajf washajulia madhaifu yake
Washaanza kumchokonoa kusudi ili akasirike atukane, apigwe ban arudi kule mafichoni alikotokea[emoji1787][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
GENTAMYCINE nikipigwa BAN hapa JamiiForums kama mtakavyo na watakavyo hao / hawa Uliwazungumzia hapa ndiyo Ujuha, Uwendawazimu na Umasikini Wao mkubwa utapungua au Kumalizia kabisa?

Waambie hao Watu kuwa kadri wanavyozidi Kuniandama na Kunisakama Kutwa GENTAMYCINE ndiyo Kwanza wananiongezea 'Fame' yangu Kubwa na hata idadi ya Followers wangu ambayo mpaka imefikia Members 132.

Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba GENTAMYCINE na Kunibariki na hizi Tunu ( Shani ) Kuu Nne za Kiasili za Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ambazo zinawatesa zaidi ambao hukuwapa / hukuwabariki nazo.
 
Sikushangai kuandika uharo kwa sababu najua huna.akili
Halafu hujistukii jf yote hakuna hata mtu mmoja anae kukubali kwanini usiache kuandika pumba uanze kuandika vitu vinavyo eleweka
Authentic Moron.
 
Kuna kitu nmeshagundua,
Skuhzi Genta akishaanzisha uzi
Kuna Wahuni washamjulia madhaifu yake
Watamchokonoa kusudi ili akasirike haraka atukane, apigwe ban arudi kule mafichoni alikotokea[emoji1787][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umelijua hilo leo ndugu
Mimi siwapendi sababu wanamzingua mshikaji kisa wanaujua udhaifu wake.

Ila acheni GENTAMYCINE aitwe GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom