Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

Sime imekuwa bastola mwe. Watu wa bunda vijijini hawanaga bunduki tusidanganyane. Huko huwaga ni mwendo wa masime.

Mkataa kwao mtumwa
Nashauri iundwe tume yenye wajumbe 10 kutoka bara na 10 kutoka visiwani Ili kuchunguza na kumaliza ugomvi wenu🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni upuuzi wakirudiana wewe lazma uonekane mbaya wao
Yani inatakiwa ukiona hata wamebebeana mashoka
We waambie PASUANENI
Ndiyo ninachoenda Kukifanya sasa Mkuu.
Hili jambo kuna watu wengi wanakubaliana nalo, lakini mimi nina mawazo tofauti. Tatizo kubwa la baadhi ya watu wanaojaribu kuamua ugomvi wa wapenzi ni kuwa wanajiingiza kwenye ugomvi na ku-take sides.

Unakuta mtu anajaribu kuamua kinafiki huku wengine wakiafikia hatua ya kuuambia upande mmoja uachane na upande mwingine.

Hili ni lazima litakuletea matatizo iwapo watapatana baadae. Wewe unayeamua unatakiwa kuwa neutral. Sikiliza pande zote kwa kuwakalisha pamoja, na toa msimamo wako ni yupi kakosea wapi lakini usijaribu kushauri upande mmoja uachane na uapende mwingine.
 
Tena watu huko wa ajabu ajabu sana hasa wale wanao toka bwanza kisorya sijui wapoje!
 
Nashauri iundwe tume yenye wajumbe 10 kutoka bara na 10 kutoka visiwani Ili kuchunguza na kumaliza ugomvi wenu🤣
Mpaka huyo Mwingine akipona Ukichaa wake unaomsumbua na kudhani kuwa kwa Kunishobokea hapa JamiiForums kila mara ndiyo atapona.

Hana Akili.
 
Back
Top Bottom