GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuanzia sasa ( leo ) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.
Sijui kwanini Wema unaniponza mno.
Anatafuta Tuzo mwishoni mwa mwakaNi msimu wa nyuzi za popoma.
Unamuokoa kabisa Shemeji yako ambaye unaona anaenda Kupigwa Risasi na Mumewe halafu Mkewe ( Shemeji huyo ) anakuambia hamtaki tena Mumewe na anaondoka baada ya Siku Tatu unawaona wako pamoja Baa na unawasikia kabisa Wakikuteta na Kukuchukia kuwa unataka Kuwaachanisha.Uko sahihi kabisa,tena bora uongoke zako uwaache tu.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Tuzo pekee niliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kiasili kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer inanitosha.Anatafta Tuzo mwishoni mwa mwaka
Unamuokoa kabisa Shemeji yako ambaye unaona anaenda Kupigwa Risasi na Mumewe halafu Mkewe ( Shemeji huyo ) anakuambia hamtaki...
Nimekuelewa sana bwana GENTAMYCINE,...japo kuna watu humu watashangaa na ww ni mtu mwema!
Nadhani kajifunza kituNimekuelewa sana bwana GENTAMYCINE,...japo kuna watu humu watashangaa na ww ni mtu mwema!
Ndiyo ninachoenda Kukifanya sasa Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni upuuzi wakirudiana wewe lazma uonekane mbaya wao
Yani inatakiwa ukiona hata wamebebeana mashoka
We waambie PASUANENI
Kabisa.Nadhani kajifunza kitu
Hi itasaidia Kumrekebisha? Kwanini Mimi nikiwajibu Watu hovyo hapa huwa mnakimbilia Kunishutumu na kutaka nipewe BAN ila Wanaonifanyia hivyo kama huyu huwa mnanyamaza ( hamsemi lolote ) na mnakimbilia kusema nimu Ignore? Nachukia sana Unafiki na Sanifu Mkuu sawa?ignore mkuu hutoona post zake hatoona post zako
Hunaga kazi za kufanywa?Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi ( ninaowajua ) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.
Sijui kwanini Wema unaniponza mno.