Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Uko sahihi
 
Zamani tendo la ndoa, lilikua takatifu na ibada baina ya mungu na watu wake endapo litafanyika ki halali.

Lakini saivi ni kinyume watu wanalichukulia ni tendo la kawaida kama vitu vyengine, ndio maana walio wengi wana tembea na mikosi, nuksi na matatizo mengine ya kiroho kutokana na kujihsisha na tendo hili bila kufata kanuni.

Tujifikirie kwa kweli.
 
Kuna mmoja humu kajiunga juzi juzi anadai madau mtoayo ni madogo, yani 50K tu πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ bila shaka amepata ujumbe wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…