Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Zamani tendo la ndoa, lilikua takatifu na ibada baina ya mungu na watu wake endapo litafanyika ki halali.

Lakini saivi ni kinyume watu wanalichukulia ni tendo la kawaida kama vitu vyengine, ndio maana walio wengi wana tembea na mikosi, nuksi na matatizo mengine ya kiroho kutokana na kujihsisha na tendo hili bila kufata kanuni.

Tujifikirie kwa kweli.
Zamani ipi?
 
Bitter truth[emoji3][emoji3]mkuu upo sahihi sana umeongea ukweli ambao wengi hatupendi kuhusikia,ila kwa bongo vijana tunapotea sana kuanzia watu WA kawaida Hadi celebrities ,unakuta mtu anajisifu kuonga gari ili kupata demu kitu ambacho ni uboya mtupu,Kuna jamaa Twitter mi mwenyewe nilimuona boya eti kalala na demu kwa malipo ya tsh 60,000 na yeye akawa anajisifu ila kwa wajanja wakawa wanamuona ana expose uboya alio nao ,demu unalalaje naye kwa 60k wakati wahuni wanapiga BURE au kwa 20k au vinywaji tu,vijana tubadilike kuwa na financial freedom Raha sana , tofauti na Kutumia pesa vibaya kwa vitu visivyo na msingi mwisho WA siku majuto na umasikini unatukumba na tunaanza kutia huruma kwa vitu tunavyojisababishia wenyewe
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.

Zingatia sana hayo maneno Mkuu [emoji115]
 
Mzee mbona una roho ya kishetani hivi?

Hio dhana ya kusema malaya anapaswa kuishi kweny umaskini ni roho mbaya mzee, nayeye ni binadamu kama binadamu wengine, nayeye anatamani kufanikiwa kama ww tuu, kama una mafanikio mshukuru mungu na sio kuwatamkia wengine maneno kama hayo.

Mi nadhani nao ni watu wanaotafuta riziki kama watu wengine, usikute wana watoto nyumbani, wengine wanasomesha, sio kila malaya unaekutana nae anafanya vile kwa sababu ya tamaa tuu za hela, watu wana shida mzee, yeye mwenyew hajapenda kuuza mwili wake, sema tuu kaishiwa options.
Nikisema ww unaemtetea Malaya ni shetani nitakuwa nakosea?

UNAAMINI MUNGU?

Malaya hana baraka za Mungu na wala hajali chochote kuhusu hisia zako.

BADILIKA.
 
Matumizi ya pesa ni ya mtu binafsi, kama mtoa uzi umelingundua hilo, basi hio ni silaha ya mafanikio yako. Tunza sana hio siri wasiyoijua wengi, itakufikisha mbali. Hakikisha kwnye kipato chako hutumii zaidi ya 40% na 60% inayobaki hakikisha unaiwekeza ilite pesa ingine, hakika utafika mbali. Mimi kumpa mwanamke pesa yangu ni hadi awe amefanya kitu cha maana sana kwangu.

Wanatupa utelezi tunawapa pesa ni upuuzi kama wa mababu zetu kuwapa wazungu dhahabu na wao kupewa shanga na vioo. Nonsense
MALAYA WOTE WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI
 
Unachokisema ni kwel.Sio jambo zuri halaf hata hakunaga jipya kwa hawa viumbe zaid ya mikosi na magono nje nje.
Jitu linakuja kipesa zaid, unasikia, nipe kwanza changu😂😂.

Katika harakat hiz a kuuza na kununua ukiwa kama kijana unakumbana na mambo mengi sana na binafsi kuna experience moja nilikuutana nayo NZURI SANA huwa naikumbuka mpaka kesho.

Yule she ukiachana na uzuri wake, she was very friendly.Nilikua Arusha na yule mtoto ni wa chuga. Anatumia jina Luc** kwenye mtando flan hiv wa wajasiriamali wa aina yake. Ila pigo zake utasema sio malaya au ndio labda anajifunza..

Baada ya kumpa location picha linaanza kajaa room akanikuta nasoma bible, akaingia akafunga mlango,akasimama pale kama sekunde kadhaa akaniangalia kwa tabasam kisha akauliza "unasomaga bible?". Nikamwambia "yes ,ni ya hapa hapa hotelin sio ya kwangu but huwa nasoma hata napokua home".

Bas akacheka pale (kidogo sio sana) akaja aka kaa pembeni.
Hakuonekana kuwa na haraka kabisaa, ilikua kama saa 6 mchana na kibarid cha Arusha plus ugeni.😁.

Alipokaa nikamuuliza"umeshangaa mimi kusoma bible au umeshangaa kusomea bible katika mazingira kama haya especially yanahusiana na kukutana kwetu?"

Akasema "hapana. Bas tu, sikutegemea lakin hata mimi huwa nasoma pia, ninayo na kwenye simu".

Akaweka kiswaswadu pembeni, akatoa iphone yake kwenye wallet akanionyesha app ya bible.

Nikasema "safi, ni jambo zuri maana latika maisha haya mengine ni ajali tu ila kuna maisha baada ya haya". Akasema ni kwel.

Tukajikuta tunaingia kwenye stori nyingine tofaautiii .Tukapiga sana stori ,indrectly nikamuuliza maswali ambayo aka reveal yeye ni nani, kazaliwa wapi, wazaz wake baba sio mtanzania na ameish sana kenya.

Na mimi piaa nikamjibu maswal aliokua akiniuliza mengine kwel mengine namdanganya but all in all tulikua na conversation ndefu. She was classic in appearance akanambia anasoma IAA (probably alinidanganya)...

Mwisho wa siku tukamaliza na kilichotukutanisha but she was convincing sana maana akatoa condom akanivalisha baada ya mtanange akanivua kisha baada ya sote kuji swafi akaniuliza "ume enjoy?".

Nikasema "sure, i have". Akasema "okay, next time ukija Arusha just call me".

Nikamlipa chake 30k, akasepa.

Amenikaaga akilini mpaka leo hii japo sikuwah mtafuta mpaka kesho, hata time niko chuga nimekuja jana ila sina plan ya kufanya hivyo.

NB.
She was soo sweet..milio yake ilikua inahamasisha sana plus vinge vingii, "ooohh fu*ck" 😂😂😂😂.
Nili enjoy sana.

SINUNUI MALAYA TENA
 
Hata mwanamke uliye naye ni malaya kwa mwanaume mwingine. Fanya utafiti utajua hilo mkuu
AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO.

Ukielewa nilichokiandika kwenye huu uzi hautosema huo Upuuzi wako.

Soma Post zangu za nyuma, ndio utajua mimi ni nani.
 
Hoja yako hapo ya msingi kabisa ni ipi juu yao..
Weka bayana tujue
Kuharalisha tu haitoshi,toa na hoja kuntu basi
Hoja yangu kubwa ni [emoji116]

MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.
 
Back
Top Bottom