Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Soon utaoa, we subiriupwiru tupunguze wapi sasa ?
nyeto inachosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon utaoa, we subiriupwiru tupunguze wapi sasa ?
nyeto inachosha
Zamani ipi?Zamani tendo la ndoa, lilikua takatifu na ibada baina ya mungu na watu wake endapo litafanyika ki halali.
Lakini saivi ni kinyume watu wanalichukulia ni tendo la kawaida kama vitu vyengine, ndio maana walio wengi wana tembea na mikosi, nuksi na matatizo mengine ya kiroho kutokana na kujihsisha na tendo hili bila kufata kanuni.
Tujifikirie kwa kweli.
MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI, USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO.Bitter truth[emoji3][emoji3]mkuu upo sahihi sana umeongea ukweli ambao wengi hatupendi kuhusikia,ila kwa bongo vijana tunapotea sana kuanzia watu WA kawaida Hadi celebrities ,unakuta mtu anajisifu kuonga gari ili kupata demu kitu ambacho ni uboya mtupu,Kuna jamaa Twitter mi mwenyewe nilimuona boya eti kalala na demu kwa malipo ya tsh 60,000 na yeye akawa anajisifu ila kwa wajanja wakawa wanamuona ana expose uboya alio nao ,demu unalalaje naye kwa 60k wakati wahuni wanapiga BURE au kwa 20k au vinywaji tu,vijana tubadilike kuwa na financial freedom Raha sana , tofauti na Kutumia pesa vibaya kwa vitu visivyo na msingi mwisho WA siku majuto na umasikini unatukumba na tunaanza kutia huruma kwa vitu tunavyojisababishia wenyewe
Nikisema ww unaemtetea Malaya ni shetani nitakuwa nakosea?Mzee mbona una roho ya kishetani hivi?
Hio dhana ya kusema malaya anapaswa kuishi kweny umaskini ni roho mbaya mzee, nayeye ni binadamu kama binadamu wengine, nayeye anatamani kufanikiwa kama ww tuu, kama una mafanikio mshukuru mungu na sio kuwatamkia wengine maneno kama hayo.
Mi nadhani nao ni watu wanaotafuta riziki kama watu wengine, usikute wana watoto nyumbani, wengine wanasomesha, sio kila malaya unaekutana nae anafanya vile kwa sababu ya tamaa tuu za hela, watu wana shida mzee, yeye mwenyew hajapenda kuuza mwili wake, sema tuu kaishiwa options.
MALAYA WOTE WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINIMatumizi ya pesa ni ya mtu binafsi, kama mtoa uzi umelingundua hilo, basi hio ni silaha ya mafanikio yako. Tunza sana hio siri wasiyoijua wengi, itakufikisha mbali. Hakikisha kwnye kipato chako hutumii zaidi ya 40% na 60% inayobaki hakikisha unaiwekeza ilite pesa ingine, hakika utafika mbali. Mimi kumpa mwanamke pesa yangu ni hadi awe amefanya kitu cha maana sana kwangu.
Wanatupa utelezi tunawapa pesa ni upuuzi kama wa mababu zetu kuwapa wazungu dhahabu na wao kupewa shanga na vioo. Nonsense
wewe unae lala na malaya unazo baraka? ni huzuni kuona sinner judge a sinner for sinning differentNikisema ww unaemtetea Malaya ni shetani nitakuwa nakosea?
UNAAMINI MUNGU?
Malaya hana baraka za Mungu na wala hajali chochote kuhusu hisia zako.
BADILIKA.
Ujinga ni kutomsaidia mwenye shida na kumpa hela Malaya ambae anakuletea mikosi, laana na nuksi.Kwangu mie nawe tunaona ni ujinga, ila tusipangiane matumizi, kila mtu na starehe yake, hatujafundishana kuzitafuta, tusifundishane kutumia.
AKILI NI MAARIFA SIO KILA MTU ANAYO.Hata mwanamke uliye naye ni malaya kwa mwanaume mwingine. Fanya utafiti utajua hilo mkuu