Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.

Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.

Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda

Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.

Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
 
Unabananisha maneno, mpaka mtu anashindwa kupumua. Kweli ni mwaka 2024, mwezi wa 4 mida ya 2:30.
 
Mbona ulitusimulia mkuu,au ulisahau?
 
Toka lini mmama wa miaka 27 aka wa binti? Watu wengine bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…