Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jinga sana wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.
Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.
Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda
Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
3 childs wewe unazama? Helq za bure mnachota huko kwa Mama 5tenaMwanangu ningepigwa nimekwambia nikufiche nn, Ili ni kwangu ni kama Funzo.
Kununua Kiwanja kujenga, na umeme full, Bado kumkabidhi tu Dem kachomoa Betri,
Pole mkuu hawa watu hawapendi raha 💯..Sahihi sana, kaka nilikirupuka
Ngoja mpangaji nije mie 🤧🤧No Nina nyumba ninayo naishi hiyo nitapangisha.
Mtaji utarudi kumbeNo Nina nyumba ninayo naishi hiyo nitapangisha.