Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Jinga sana wewe
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.

Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.

Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda

Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.

Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
 
Mpaka naoa nilipita kwenye mahusiano ya watu 5
1. Maisha mzuri kwao analia Lia sana - nikala kona
2. Alipata ajira, akajenga kabla ya Mimi kupata kazi yaani hohe hahe...nikakimbia
3. Mkenya stress za watu Kenya - nikasepa huyu alinipab exposure ya kukaa viwanja na madeal makubwa
4. Ana pesa na age imenda - mikapiga nikatumia hela yake nikatafuta dissent girl
5. Teacher - nikaoa miaka 14 ya ndoa naienjoy changamoto zipo za kibinadamu
 
Mtu mmekutanaa 2024 mwezi wa 4 na hii ni 2025 ndio kwanza mwaka haujaisha ushamjengea nyumba.

Yaani sidhani hata kama ulimla mara 10
tayari unajenga!!!!

Huku sio kupenda ni ushamba wa mbususu sasa
 
Ila mtoa mada si ushukuru ujakabidhi nyumba jaman uamie Kwa mjengo uwo
 
Back
Top Bottom