Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DadekiMtu mmekutanaa 2024 mwezi wa 4 na hii ni 2025 ndio kwanza mwaka haujaisha ushamjengea nyumba.
Yaani sidhani hata kama ulimla mara 10
tayari unajenga!!!!
Huku sio kupenda ni ushamba wa mbususu sasa
Bora wewe umesema,huyu kaleta negative lakini wenye positive ni wengi mno.Tayari kimekulamba binti Sayuni kashakupiga tukio..!! 😹😹🤣
Nilipataga babe alikuwa ananilipia kodi kwenye nyumba yangu mwenyewe na nilikuwa namwambia landlord anataka kuanzia miezi 6 😹😹😹🤸♀️
Siku ananiambia tuachane na kodi hanilipii tena nilimcheka km kinyago cha mpapule..!! 🤣!
Wanaume tunawapiga sana matukio sema mnaogopa kusimulia, bora wewe umejitoa muhanga leo.
Tukiandika ukweli simp wanatuambia tuna chuki na wanawake, tuna inferiority complex na blah blah zingine, ila yakiwakuta ndio wanaelewa.Natafuta Ajira kuna mwanafunzi wako huku yamemkuta tena
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.
Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.
Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda
Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
Tayari kimekulamba binti Sayuni kashakupiga tukio..!! 😹😹🤣
Nilipataga babe alikuwa ananilipia kodi kwenye nyumba yangu mwenyewe na nilikuwa namwambia landlord anataka kuanzia miezi 6 😹😹😹🤸♀️
Siku ananiambia tuachane na kodi hanilipii tena nilimcheka km kinyago cha mpapule..!! 🤣!
Wanaume tunawapiga sana matukio sema mnaogopa kusimulia, bora wewe umejitoa muhanga l
Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.Tayari kimekulamba binti Sayuni kashakupiga tukio..!! 😹😹🤣
Nilipataga babe alikuwa ananilipia kodi kwenye nyumba yangu mwenyewe na nilikuwa namwambia landlord anataka kuanzia miezi 6 😹😹😹🤸♀️
Siku ananiambia tuachane na kodi hanilipii tena nilimcheka km kinyago cha mpapule..!! 🤣!
Wanaume tunawapiga sana matukio sema mnaogopa kusimulia, bora wewe umejitoa muhanga leo.
Kilikupata nini sasa mboni hujamaliza unaanza kulia?Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
Ikawaje sasa malizia story mboni unajilizaliza na story humalizii?Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.
Hao viumbe hawanaga shukrani hata kidogo,ukipata nafasi yakumtenda mwanamke mtende kisawasawa hadi atie adabu, sio wakuwaonea huruma hata kidogo!2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.
Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.
Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda
Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
Kachomoaje hio betri mboni maelezo yako hayatoshi?Mwanangu ningepigwa nimekwambia nikufiche nn, Ili ni kwangu ni kama Funzo.
Kununua Kiwanja kujenga, na umeme full, Bado kumkabidhi tu Dem kachomoa Betri,
Kimekupata nini sisi wengine ndio maana tunatafuta kufungua njia wenyewe, hawa akina To yeye hawachelewi kuchomoa betri100%
Wewe unalala na kula kwa shemeji yako.kisha unakuja andika upuuzi eti ukamjengea. Unaota?hujielewi unakuja na pigo za kishamba sana. Nenda kamfulie shemejiyo boxers zake.2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.
Msela nikazama hivyo hivyo, nikawekeza pesa chap lengo kumjengea Dem atoke nyumba ya kupanga aje akae katika hiyo nyumba nikafanikisha, January 2025.
Lengo la la pili nilikua nataka nimpe msingi wa Biashara, ni msaporort Kwenye Biashara yake.
Niliyafanya Yote hayo kwa kutaka KUMUAMINISHA kua na nampenda
Ila kitu nimejifunza na kuelewa kwenye haya Maisha usimfanyie Jambo la malengo Mwanamke, na ni watu wasio na shukrani, Yaani katika Haya Maisha USITUMIE Mali yako, au Pesa yako kuwekeza kwa mwanamke.
Usiwekeze kwa mwanamke, malipo yake utajuta.
SIMPS(Weak men) wanashida sana.Alimjengea single maza with 3 kid na kumfungulia biznez akitegemea upendo wa dhati hatimae kapigwa kibuti umeelewa?
Umedhihirisha ulivyo kibuyu.Ipo siku watakutawanya nyaa.Endelea kujisifu ujinga.Tayari kimekulamba binti Sayuni kashakupiga tukio..!! 😹😹🤣
Nilipataga babe alikuwa ananilipia kodi kwenye nyumba yangu mwenyewe na nilikuwa namwambia landlord anataka kuanzia miezi 6 😹😹😹🤸♀️
Siku ananiambia tuachane na kodi hanilipii tena nilimcheka km kinyago cha mpapule..!! 🤣!
Wanaume tunawapiga sana matukio sema mnaogopa kusimulia, bora wewe umejitoa muhanga leo.
Wanawake wakuchapa walivyo wengi hivi hao mavimpire mnayatolea wapi???😀😀😀Mwanamke, ni Kiumbe Hatari sana, nae alikua anaomba Kodi nikaamua kumjengea Ili kupunguza kuombana Kodi Kila mara, ni kawaza nimpe na msingi aongezee kwenye Harakati zake.