Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wakuu,
Hayo maneno niliyoweka hapo juu yanapatika kwenye Bibilia takatifu kitabu cha Mhubiri.
Mhu 7:16 SUV
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?
Nini hasa maana yake?Je usipende kudai haki zako kupita kiasi ama usipende kutoa haki kupita kiasi?
Wataalamu wa maandiko ya Bibilia naombeni Majibu yenu.
Ahsante.