"Usiwe na Haki kupita kiasi" Ina maana gani?

Maana yake:- Usiwe mwema kupita kiasi wala usijifanyie hekima kwa kila kitu kwani Hekima na wema mwingi huumiza nafsi na kugonjeka hasa kuvunjwa moyo!!Ndio maana Yesu alisema hivi:-Acha wafu wazike wafu wao na Maskini wenye shida tunao siku zote hadi mwisho wa dunia KWA HIYO HATA TUFANYAJE HATUWEZI TATUA MATATIZO YOTE YA WATU MAISHANI!!!HUO NDIO UKWELI WA DHAHIRI!!
 
Hili andiko naona limetumia maneno vibaya au walio walio tuwekea kwa Kiswahili,hawakumakinika na maana ya maneno haya.
Ndivyo walivyo tafsiri hatuna namna
 
Jibu ni UWE MTU WA KIASI
KIASI
KIASI
KIASI
NORMAL
MEDIUM
 
Sawa,nashukuru kwa mawazo yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…