Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

Habarini za weeknd wana JF

Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ?

Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini mimi

Mwanamke yeyote anayetumia pombe hadi kulewa kujikojolea au ku seize hana aibu kabisa anaweza hata kukutongoza mchana kweupe au kupitia mshkaji wako wa karibu mi huu ushenzi nimeshuhudia mara 3 wanawake wa bar, saloon na mama ntilie mmoja mlevi wa konyagi nilishangaa sana ila nilivyofanya uchunguzi nikagundua utumiaji wao wa pombe ndo unaweza kusababisha haya yote

Wengine unakuta anatembea na kinguo chepesi kama sketi fupi za kisasa au wengine madera akienda bar au club akinunuliwa bia mbili tatu unaenda kumuinamisha chooni unajipigia tu

Kama kuna mtu anajua uhusiano wa ulevi na nyege kwa wanawake aniambie asee maana jinsi wanavyoinamishwa ni huzuni sana

#Usiwe na mahusiano ya kudumu na mwanamke mlevi utanishukur
Japo tuna uhuru wa kuchagua na kuamua, ila mwanamke mlevi hapana kiukweli.

Kumbuka sio tu mwanamke, bali ni mama wa watoto wako wajao.

je unge penda arithi tabia hizo?
uko sawa kabisa maana wanawake siku zote ni watu wa kubana matumizi, sasa ili apige vitu lazima atafute washikaji wa kuwa wanamununulia hizo pombe
 
Ukinywa pombe zaidi unalewa na huu ulevi huenda kwenye fikra zako ambako zinazidiwa nguvu na ulevi.Sisi tunaoamini Mungu huu elevi ni pepo linalomwgia mtu anapolewa.Kwa hiyo pombe ikizidi unakuwa umefungua mlango kwa shetani na kwanza kukutumia anavyotaka.Hugo mwanamke anayeinamisha chooni na anayemwinamisha wote wanamapepo asihukumiwe mwanamke pk yake. Suluhisho ni kuacha pombe ili kufunga mlango kwa shetani.Kama unamwamini Mungu shika neno lake
 
Mjukuu; uwe unaniita kwenye topic ambazo zinahitaji kutumia medula obulongata japo kidogo basi kha!

Screenshot_20250223_045648_Chrome.jpg
 
Kama huna akili huna tu😂 usimsingizie pepo. People make worst decisions in life everyday wakiwa hawajatumia kilevi chochote wako sober 100%.

Kunywa bia hakumfanyi mtu kuwa stupid unless huyo mtu hana control unit inayofanya kazi sawa sawa. Huwezi kunywa bia hadi unajikojolea. Lazma uwe na kiasi kwenye kila jambo.
Ukinywa pombe zaidi unalewa na huu ulevi huenda kwenye fikra zako ambako zinazidiwa nguvu na ulevi.Sisi tunaoamini Mungu huu elevi ni pepo linalomwgia mtu anapolewa.Kwa hiyo pombe ikizidi unakuwa umefungua mlango kwa shetani na kwanza kukutumia anavyotaka.Hugo mwanamke anayeinamisha chooni na anayemwinamisha wote wanamapepo asihukumiwe mwanamke pk yake. Suluhisho ni kuacha pombe ili kufunga mlango kwa shetani.Kama unamwamini Mungu shika neno lake
 
Kama huna akili huna tu😂 usimsingizie pepo. People make worst decisions in life everyday wakiwa hawajatumia kilevi chochote wako sober 100%.

Kunywa bia hakumfanyi mtu kuwa stupid unless huyo mtu hana control unit inayofanya kazi sawa sawa. Huwezi kunywa bia hadi unajikojolea. Lazma uwe na kiasi kwenye kila jambo.
Hahaha watu wamevurugwa mzee weeee ni mwendo wa kubugia ma savannah hadi basi
 
Back
Top Bottom