Mimi ni mdau mzuri wa kinywaji barikiwa.
Yaani binti mwenye tabia zake nzuri hawezi kunywa mpaka ashindwe kujielewa akabanjuliwa bila kujitambua.
Mkuu hiyo ni tabia ya mtu, pombe inakupa ile confidence tu ila sio ndio inakuelekeza ufanye kitu kipya maishani mwako.
Kuna siku nilienda kijiwe kipya kula vyombo, nikakutana na wadau hata hatujuani. Wote ni wanaume tena niliowakuta yalikua majabali kwelikweli ila kilaji kilivyokolea kuna njema moja kumbe ni punga, likaanza kuonesha signs zake pale, kwahiyo sio pombe iliyomfanya vile ila ile ni tabia yake imejidhihirisha baada ya kupata confidence kashindwa kujificha.