Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

 
Ukinywa pombe zaidi unalewa na huu ulevi huenda kwenye fikra zako ambako zinazidiwa nguvu na ulevi.Sisi tunaoamini Mungu huu elevi ni pepo linalomwgia mtu anapolewa.Kwa hiyo pombe ikizidi unakuwa umefungua mlango kwa shetani na kwanza kukutumia anavyotaka.Hugo mwanamke anayeinamisha chooni na anayemwinamisha wote wanamapepo asihukumiwe mwanamke pk yake. Suluhisho ni kuacha pombe ili kufunga mlango kwa shetani.Kama unamwamini Mungu shika neno lake
 
Kama huna akili huna tu😂 usimsingizie pepo. People make worst decisions in life everyday wakiwa hawajatumia kilevi chochote wako sober 100%.

Kunywa bia hakumfanyi mtu kuwa stupid unless huyo mtu hana control unit inayofanya kazi sawa sawa. Huwezi kunywa bia hadi unajikojolea. Lazma uwe na kiasi kwenye kila jambo.
 
Hahaha watu wamevurugwa mzee weeee ni mwendo wa kubugia ma savannah hadi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…