Usiwekeze hisia zako kwa mwanamke

Usiwekeze hisia zako kwa mwanamke

Joined
Sep 9, 2024
Posts
12
Reaction score
254
‘’usiwekeze hisia zako kwa mwanamke

Jambo la kwanza …kichwa cha habari hakisemi usimpende mwanamke . KInasema usiwekeze hisia zako kwa mwanamke .

Njia pekee ambayo unaweza kutapeliwa kihisia ni kupitia kuwekeza hisia zako mwenyewe kwa mwanamke na wana wake wana mbinu na sifa za kutapeli kihisia.

Unapowekeza hisia zako kwa mwanamke ,ina maaanisha kwamba….

Umempa mamlaka ya kuongoza maisha yako. Ikiwa mamalaka ya maisha yako yapo mikononi mwa mwanamke you will get burnt , na hapo ndio utapoteza Amani yako.

Sikia wewe simp👂

Elewa kwamba wanawake hawana uwezo wa kumudu mamlaka na uongozi ( jamii inajua hili , hata wanasiasa wana jua hili , hata walio andika maandiko ya dini wana jua hili.. ok tusiende mbali sana katika hili)
Kwa hio unapowekeza mda na hisia zako kwa mwanamke 👇👇
-Endapo mwanamke wako asipokupigia simu-utajisikia vibaya hata aka kucheat ndio kabisa utahisi kufa. Akionesha upendo kwa mtu mwingine utafeel insecure, hata akibadilisha tabia na mtazamo juu yako utakosa Amani.

Andiko hili halina maana ya kukufanya uogope wanawake na kutowapenda ,isipokuwa kukufahamisha namna unavoweza kuharibu maisha yako endapo utakabidhi hisia zako kwa mwanamke na kumpa Uongozi wa maisha yako.

Elewa kwamba watu wana badilika na mara nyingi ni ngumu kumrudisha mtu katika hali ya awali ,kwa hiyo kama kuna mtu ambaye inabidi atawale hisia zako basi huyo mtu ni WEWE. Na ndio maana ukiwekeza hisia zako kwa mwanamke UTAADHIBIWA kwa hilo mara zote.
Maisha ya mwanaume magumu sana ,usifanye kua magumu Zaidi kwa kuwekeza HISIA ZAKO KWA MWANAMKE WAKO .mpende ,mjali kama malkia kama unataka. LAKINI NEVER GET EMOTIONALLY ATTACHED TO HER NEVER!
 
ushachelewa mkuu tumeshawekeza kwao na tumetumbukia tumezama hatutoki na tunawapenda!
 
Back
Top Bottom