Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Afwile munu 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Wanaita mchongo ðŸ¤ðŸ¥´Yaniii siku hizi nafasi ya mwanamke inariplesiwa na mwanaume 🙌🙌🙌
Point ipo hapawengi wenu hamnywi pombe ndo maana mna roho flani ya kibinafsi sana
Asipokuelewa,baaasiii....😉Kutwa kulalamikia wanawake..halafu wanaume mnaolalamikia wanawake na wale wa kataa ndoa wengi wenu hamnywi pombe ndo maana mna roho flani ya kibinafsi sana
Kwa mfano mimi hapa nina mwanamke mzuri huyo na kila siku nalala naye tunakula pamoja na nikipata kijihela changu naenda kunywa bia na enjoy mke yupo nyumbani naanzaje kwanza kuanza kutesa kichwa mara sijui nisiwekeze hisia mara sijui nisipende...maisha yenyewe magumu sina pesa kihivo kwanini niwe na wasiwasi kwamba nitapigwa nitapigiwa nini kwamba hii laki au miliion..
Evelyn Salt
To yeye
Michongo imenoga wallah🤣🤣Wanaita mchongo ðŸ¤ðŸ¥´
🤣🤣🤣🤣 Wana balaa hawa watu...acha tu🤦Michongo imenoga wallah
Mwanaume unatakiwa uwe na hisia tuu za kusimamisha kichwa cha chini pindi uonapo utamu uko karibu na wewe. Tofauti na hapo tumia akili za kichwa cha juu na siyo vinginevyo. Hawa viumbe ni majoka makubwa sana‘’usiwekeze hisia zako kwa mwanamke
Jambo la kwanza …kichwa cha habari hakisemi usimpende mwanamke . KInasema usiwekeze hisia zako kwa mwanamke .
Njia pekee ambayo unaweza kutapeliwa kihisia ni kupitia kuwekeza hisia zako mwenyewe kwa mwanamke na wana wake wana mbinu na sifa za kutapeli kihisia.
Unapowekeza hisia zako kwa mwanamke ,ina maaanisha kwamba….
Umempa mamlaka ya kuongoza maisha yako. Ikiwa mamalaka ya maisha yako yapo mikononi mwa mwanamke you will get burnt , na hapo ndio utapoteza Amani yako.
Sikia wewe simp👂
Elewa kwamba wanawake hawana uwezo wa kumudu mamlaka na uongozi ( jamii inajua hili , hata wanasiasa wana jua hili , hata walio andika maandiko ya dini wana jua hili.. ok tusiende mbali sana katika hili)
Kwa hio unapowekeza mda na hisia zako kwa mwanamke 👇👇
-Endapo mwanamke wako asipokupigia simu-utajisikia vibaya hata aka kucheat ndio kabisa utahisi kufa. Akionesha upendo kwa mtu mwingine utafeel insecure, hata akibadilisha tabia na mtazamo juu yako utakosa Amani.
Andiko hili halina maana ya kukufanya uogope wanawake na kutowapenda ,isipokuwa kukufahamisha namna unavoweza kuharibu maisha yako endapo utakabidhi hisia zako kwa mwanamke na kumpa Uongozi wa maisha yako.
Elewa kwamba watu wana badilika na mara nyingi ni ngumu kumrudisha mtu katika hali ya awali ,kwa hiyo kama kuna mtu ambaye inabidi atawale hisia zako basi huyo mtu ni WEWE. Na ndio maana ukiwekeza hisia zako kwa mwanamke UTAADHIBIWA kwa hilo mara zote.
Maisha ya mwanaume magumu sana ,usifanye kua magumu Zaidi kwa kuwekeza HISIA ZAKO KWA MWANAMKE WAKO .mpende ,mjali kama malkia kama unataka. LAKINI NEVER GET EMOTIONALLY ATTACHED TO HER NEVER!
Me kingereza chako hiko sikielewi..SImp at his peak
Kwanini sasa? Nakosea wapi?🤣🤣🤣 Utasubiri sana aisee🥴
Tangazo lako halina mvutoKwanini sasa? Nakosea wapi?
Nitengenezeee, Sisi ni Ndugu ujueTangazo lako halina mvuto
Andika tangazo lakoNitengenezeee, Sisi ni Ndugu ujue
huo ndio ukweli, mwanaume hana hisia ndio maana anaweza kulala na wanawake watatu kwa siku kwa sababu mihemko na tamaa vinamuongoza, ila akitumia akili atadhibiti mihemko na kutulia na mmoja😳🤣🤣 Sawasawa 🤒
Ni kwelihuo ndio ukweli, mwanaume hana hisia ndio maana anaweza kulala na wanawake watatu kwa siku kwa sababu mihemko na tamaa vinamuongoza, ila akitumia akili atadhibiti mihemko na kutulia na mmoja