Usiwekeze hisia zako kwa mwanamke

Usiwekeze hisia zako kwa mwanamke

Kutwa kulalamikia wanawake..halafu wanaume mnaolalamikia wanawake na wale wa kataa ndoa wengi wenu hamnywi pombe ndo maana mna roho flani ya kibinafsi sana




Kwa mfano mimi hapa nina mwanamke mzuri huyo na kila siku nalala naye tunakula pamoja na nikipata kijihela changu naenda kunywa bia na enjoy mke yupo nyumbani naanzaje kwanza kuanza kutesa kichwa mara sijui nisiwekeze hisia mara sijui nisipende...maisha yenyewe magumu sina pesa kihivo kwanini niwe na wasiwasi kwamba nitapigwa nitapigiwa nini kwamba hii laki au miliion..
Evelyn Salt

To yeye
📌Huna akili!!!
 
Back
Top Bottom