Usiwekeze kwa mwanamke

Ukiweza kwenye migodi hairudi hiyo
 
Kuna watu wakiwa na hela mfukoni ukiwaambia haya mambo wanaona kama vile unawaonea wivu au wewe ni masikini ambae hauwezi kufanya wanayofanya wao, kumbe sometimes inakua ni kama unawalinda.
Watu waliopata vishilingi ni watu wa ajabu. Hawashauriki. Mpaka yawakute tukiwaacha na mambo yao ndio wanaanza kulalamika kwamba Dunia watu ni wabaya wakati ubaya wameanza wao.
 
Hivyo vya kuwekeza vyenyewe unavyo? Au hizo buku buku za vocha ndio unaona uwekezaji
Kwani hizo buku buku za vocha sio uwekezaji? Maana kwa comment yako umeiweka kana kwamba buku buku za vocha hazina thamani kubwa, sasa kama hizo buku buku hazina thamani, kwanini sasa wadada wengi mnatuombaga hizo buku buku za vocha? Lightysh
 
Pesa ya mwanaume haina thamani kwa mwanamke, hapo si ajabu yeye hajawahi kumpa boyfriend hata iyo buku ya vocha, na hii ni ishara kwamba mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia mwanamke kikamtosheleza kiasi kwamba hatahitaji umfanye zaidi
 
Aisee Majibu tunayapata hapa hapa.

Yeye hajawahi **** mwenzi hiyo buku lakini anasema Bubu buku tu
 
Dadeki we boya pamoja na kukopea mshahara wako wote kwa huyo ajuza wako na bado akakuacha solemba na kuolewa huko tabora bado akili haijakukaa sawa......
Ila vijana bwana yaani hela yangu alafu bado unanitukana πŸ˜ƒπŸ˜ƒ .
Niache kuhonga nitalala na nani rafiki ?Embu niache aisee kikubwa ni hela yangu basi
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Kama bado hujaoa lazima uwe na hayo mawazo. mwanamke ni mwanamke tu hata akiolewa. mwanamke ni mbinafsi iwe kwa mumewe hadi watoto.
 
Nadhani,,"TUISHIE HAPA KWENYE HII THREAD"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…