Kifo ni kifo mkuu, kiwe cha upweke au cha furaha, lazima ujifunze kujua kusudi lako kuwepo duniani, na kwanini ulizaliwa mwanaume ipo sababu, wekeza kwa mke wako, na unapowekeza usiwaze faida maana hiyo sio biashara, ni sawa na mzazi anayesomesha akitegemea watoto watamsaidia baadaye lazima ufe kwa stress, narudia tena wekeza kwa mke wako, sio mchumba au mpenzi, kuna baadhi ya mifano wazee walipo pata mafao wakawekeza kwa nyumba ndogo wakiacha watoto wanateseka, matokeo yake zikiisha wanateseka wao