Usiwekeze kwa mwanamke

Usiwekeze kwa mwanamke

mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Utajikuta unakuja kufa kifo cha upweke sana maana ukiamini watoto nao watafaidi matunda utashtuka kuja kuona watoto nao wanakutelekeza na kubaki kwa mama yao.
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Wewe utakuwa ni KE tu sio bure
 
20240821_081522.jpg
 
Utajikuta unakuja kufa kifo cha upweke sana maana ukiamini watoto nao watafaidi matunda utashtuka kuja kuona watoto nao wanakutelekeza na kubaki kwa mama yao.
Kifo ni kifo mkuu, kiwe cha upweke au cha furaha, lazima ujifunze kujua kusudi lako kuwepo duniani, na kwanini ulizaliwa mwanaume ipo sababu, wekeza kwa mke wako, na unapowekeza usiwaze faida maana hiyo sio biashara, ni sawa na mzazi anayesomesha akitegemea watoto watamsaidia baadaye lazima ufe kwa stress, narudia tena wekeza kwa mke wako, sio mchumba au mpenzi, kuna baadhi ya mifano wazee walipo pata mafao wakawekeza kwa nyumba ndogo wakiacha watoto wanateseka, matokeo yake zikiisha wanateseka wao
 
Uzi bora kabisa wa wakati wote. Siongezi wala sipunguzi chochote.

Watu wanao wekeza kwa wanawake hawana tofauti na watu wanao jitesa kulipa mamilioni kuwasomesha watoto wao kwenye shule za English Mediums. Wote hawajui wanacho kifanya.
Kwa mke wekeza ila usiwaze kuhusu faida
 
Kifo ni kifo mkuu, kiwe cha upweke au cha furaha, lazima ujifunze kujua kusudi lako kuwepo duniani, na kwanini ulizaliwa mwanaume ipo sababu, wekeza kwa mke wako, na unapowekeza usiwaze faida maana hiyo sio biashara, ni sawa na mzazi anayesomesha akitegemea watoto watamsaidia baadaye lazima ufe kwa stress, narudia tena wekeza kwa mke wako, sio mchumba au mpenzi, kuna baadhi ya mifano wazee walipo pata mafao wakawekeza kwa nyumba ndogo wakiacha watoto wanateseka, matokeo yake zikiisha wanateseka wao
Hapo kwenye kusomesha watoto. Ndio maana kila siku nawahubiri watu humu jamvini. Acheni kujitesa kulipa mamilioni shule za English Mediums. Pelekeni watoto wenu Kayumba muwasimamie, hivyo vimilioni mnavyo vipoteza kizembe fanyeni uwekezaji mwingine
 
Tuheshimiane bro. " mke" ndio kitu gani mkuu?

# kataa ndoa

# ndoa ni utapeli.

Moderator Huyu jamaa kanidhalilisha sana kwa kuniambia habari za mke na kuwekeza kwa mke. Naomba apigwe ban hata ya siku 3 tafadhali
Mkuu ndoa huwezi ikataa yaani ni kama 22/7 kwenye hesabu, utajifariji lakini ipo time utatamani uwe na familia yako mwenyewe, utaelekea kibra tu. Humu mnaojifanya mnaikataa ndoa nyuma ya pazia mnatoa mpaka kamasi wanawake wakiwaacha
 
Haiondoi uhalali wa kuyakinisha tabia chafu za Ke wa kizazi cha 2000 hata kama hutaki.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Wewe unazani ni mabinti tu na wavulana hawamo? Sikia wote wanalelewa familia moja,, wavulana nao wanashindwa kuendesha nyumba wanabaki kulalamika mabinti wa sikuhizi wao wenyewe ni nyolonyolo tu
 
Jitu lina watto WA 4 lidai talaka tu Aisee kma ni hvyo
Sasa kama unamnuanyasa afanye nini?
Kuna mwingine tangu kaolewa wazazi wa mwanaume hawamtaki na sababu hakuna, sahizi kunà watoto 4, bado wanaendelea kumsumbua kaamua aondoke yeye Kama yeye kamwachia watoto.
 
Kuwa makini mzee mwenzangu unaweza ukatumika nyakati ambazo wazazi wapo broke, halafu baba halali wa mtoto akishajipata unaachwa solemba., unaweza ukaona ni rahisi kwa sababu bado haijakukuta.
Ujumbe umemfikia nadhani utoto unamsumbua. AKIKUA ATAACHA
 
Back
Top Bottom