Usiwekeze kwa mwanamke

jamaa kwani hujui watoto wa mtaani chanzo ni baba zao? kwani hujui kama wengine wanakusanya hela na kuwapelekea mama zao
Huo mjadala mpana mzee baba, sio sahihi kurusha lawama kwa wanaume tu.
 
Swali moja kuu ni hivi.... Kati Emotions na Logic kipi huwa kinashinda? Ukiweza kujibu hili swali kwa usahihi basi uko karibu kujua ni kwanini most men wanafeli hapa
 
Mzee Baba hapa mwanaume hana pa kukwepea, wengi wanasababisha mimba na kuingia mitini
Nina mshkaji wangu ameachiwa mtoto na mwanamke aliezaa nae, uyo mwanamke alienda kuolewa na mwanaume mwingine kwa sasa ana kazi nzuri tu na hachangii chochote kuhusu malezi ya mtoto, hata kupiga simu kumjulia hali binti yake hakuna.

Nina ndugu yangu alioa baada ya kufukuzwa kazi mkewe alidai talaka wakaachana na kwa kipindi hicho walikua wana mtoto wa mwaka mmoja tu, yule dada alikata mawasiliano ya baba na mtoto, mpaka mpaka bro anakufa yule dada alikataa mtoto kuja kwenye msiba wa baba ake., sasa uko si ajabu mtoto ashamezeshwa chuki kwamba ndugu zako wamekutelekeza

haya masaibu hata wanaume tunakutana nayo sema tu jamii imeamua kuwa upande wa mwanamke ndio maana nikasema ni mjadala mpana
 
Swali moja kuu ni hivi.... Kati Emotions na Logic kipi huwa kinashinda? Ukiweza kujibu hili swali kwa usahihi basi uko karibu kujua ni kwanini most men wanafeli hapa
Katika kizazi tunachoishi kwa sasa ni muhimu sana kwa mwanaume kuwa na uwezo wa kudhibiti hisia, sometimes sio rahisi mpaka ukipigwa matukio mawili matatu, yote kwa yote mwanaume kudhibiti hisia ni muhimu sana, sana sana katika nyakati hizi tunazoishi kwa sababu wanawake wamejanjaluka na kugundua mifumo ya kijamii na sheria za ndoa na mahusiano zina loopholes ambazo wakizitumia kimkakati wanaweza kupata utajiri/pesa kirahisi kutoka kwa mwanaume.
 
Unachokisema ni kweli kabisa lkn unadhani why wanaume wengi wamekuwa wakifeli hapo despite wengine kuwa wazito kabisa na usioweza tegemea kuendeshwa na mambo hayo?
 
Nimeipenda hii
 
Unachokisema ni kweli kabisa lkn unadhani why wanaume wengi wamekuwa wakifeli hapo despite wengine kuwa wazito kabisa na usioweza tegemea kuendeshwa na mambo hayo?
ni kwa sababu wanaume walio wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa hawajui wanataka nini kutoka kwa mwanamke, mara nyingi msukumo wao unakua ni nyege na kuogopa kuwa single.

Wanawake wote wanajua wanachokitaka kutoka kwa mwanaume lakini bado wanaume walio wengi hawajui wanataka nini kutoka kwa mwanamke, ndio maana wanaume hawa wanaishia kutumika kama ngazi halafu wanaachwa.

Ipo hivi kwa mwanamke mapenzi ni transactional, upendo wa mwanamke ni conditional, pale atakapoona mahusiano hayamtimizii selfish purposes zake basi atayasitisha bila kujali sacrifices za mwanaume, kwa mwanamke mapenzi ni biashara.

This is why as an alpha male you must not be naive, know what you want and strike it precisely.

Be strategic, if you are dating any women be clear about what she is bringing to the table, so you can measure what you are also going to contribute. Don't venture in parasitic relationship.
 
Bado hujasema
 
Biblia imesema tuwapende wake zetu
 
Pesa ya mwanaume haina thamani kwa mwanamke, hapo si ajabu yeye hajawahi kumpa boyfriend hata iyo buku ya vocha, na hii ni ishara kwamba mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia mwanamke kikamtosheleza kiasi kwamba hatahitaji umfanye zaidi
Wanawake hawaridhiki hata na uumbaji wa Mungu, wanajichubua na kuweka tako la bandia, ndo utawaridhisha wewe?
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
jamaa anaongelea mchumba sio mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…