Usiwekeze kwa mwanamke

Hata uyo mke wa ndoa usijisahau ukawekeza kwake na kujisahau wewe mwenyewe.
 
Kwani ninatakiwa kufanya kila kitu alichokifanya baba yangu?
Hupaswi kufanya kama yeye ila badilisha mind set yako na uache kuhukumu ki stereo type (hukumu za ujumla) wanawake wema wapo! Wanaume wanaact kivulana pia wapo
 
Kuna mtu huko Arusha kavunja Nyumba aliyojenga yeye mwenyewe
 
Hupaswi kufanya kama yeye ila badilisha mind set yako na uache kuhukumu ki stereo type (hukumu za ujumla) wanawake wema wapo! Wanaume wanaact kivulana pia wapo
Ni bora uchukue tahadhari hata usipokutana na hatari bado utakua salama kuliko kwenda kichwa kichwa halafu ukutane na hatari mbeleni
 
Ninaishi na mwanamke ambae nimemchukua kutoka kwao kwa kufuata taratibu zote rasmi lakini hatujafunga ndoa, sasa sijui kwa mtazamo wako unam-classify uyo kama mpenzi au mke.
Ni mke..mpe heshima na kumfichia madhaifu yake,siku moja utabadili maada utuambie wanawake wema wapo!
 
Ni mke..mpe heshima na kumfichia madhaifu yake,siku moja utabadili maada utuambie wanawake wema wapo!
Ninayoyaongea simtumii yeye kama rejea, ninaandika ambayo nina uzoefu nayo pamoja na yale ninayoona yanaendelea mtaani kupitia ndugu, majirani, jamaa na marafiki.
 
Ninayoyaongea simtumii yeye kama rejea, ninaandika ambayo nina uzoefu nayo pamoja na yale ninayoona yanaendelea mtaani kupitia ndugu, majirani, jamaa na marafiki.
Huoni kwamba unawapa mtazamo hasi wale ambao bado hawajaji associate na hiyo taasisi? Jinsia zote!
 
Unajisahihisha mwenyewe kijana.
Rudia kusoma ulichoandika kwenye uzi wako jambo lililopolekea mimi kudhania wewe bado ni mtoto.
Hapana nimegundua uelewa wako mdogo ndio maana imebidi Nikusaidije lakini nimeandika "kuwatupa" kwa kukusaidia tu kutupa inamaana ya kutelekeza au kuacha ndio maana mtu anaweza kumwambia rafiki yake "umenitupa siku hizi mshikaj wangu"
 
Mbona Mimi nimemsomeaha na hana tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…