Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Wakurya tuko poa sana, wakarimu na wapenda amani ila ukikengeuka basi utafungiwa jiwe kubwa na kutoswa daraja la Kirumi mto mara.!
 
NDIO MAANA CASES NYINGI ZA UKATILI UTASIKIA TARIME SIJUI RORYA WENYEWE KWANZA WAKURYA WANA MAGROUP YAO YA UBAGUZ NINA MCHIZI FROM MUGUMU BUSH HUKO ANAKWAMBIA MARA AH YURE SIJUI WACRAN IRE RARA.NYINGI
 
Yeah wapo wapole nimesoma NAO wapole kabisa tena ASILIMIA KUBWA wasabato
Wakurya tuko poa sana, wakarimu na wapenda amani ila ukikengeuka basi utafungiwa jiwe kubwa na kutoswa daraja la Kirumi mto mara.!
 
Ila na wakorofi pia nimesoma NAO ila wajita wanaopendaga SIFA nawashangaaga sana ila MJITA ambaye aswaa pure mama Kwa baba wote wajita ni mpole na anapenda watu
 
WE UMEONGEA UKWELI KABISA WAJITA SIO WAKOROFI UKIONA HADI MJIYA AMEKASARIKA SANA UJUE KWELI KAKWAZIKA NA VILE VILE WAJITA SIO WATU WA SIFA ILA WAJITA NI WANAONGEA UKWELI AKIKWAMBIA MI NA MILLION 10 BENKI HAINA KAZI NATAKA NI ENJOY TU ANA MAANISHA SIO ANAJISIFIA SASA ILE MJITA KUWA MKWELI NA MILLION 10 ANA KWA KUIPELEKA ANATAKA KUENJOY NDIO WATU WANASUSA HALAFU VILE VILE HATA WAKURYA PIA WAMBEYA WENGI TU ILA ASILIMIA KUBWA NI WAKOROFI (TOFAUTISHA UKOROFI NA UBABE) WAJITA ASILIMIA CHACHE WAKOROFI WENGI WAPOLE NA MOST OF THE TIME NI WAPOLE WACHACHE NI WAKOROFI UTAJUA KUTOFAUTISHA UKIISHI NA JAMII HIZO SEHEMU YOYOTE
Wajita si Watu wa sifa?!!!
 
Umeongea sahihi sana , wajita wanaume wengi wao sio kabisa , si tunaye hapa ofisini daah Noma kabisa
Yupo mjita, tuko ofisi moja aisee!, ni anapenda sana kufatilia maisha ya watu, na anachonganisha sana wafanyakazi wenzake, ni mbishi kupita maelezo na anapenda sana sifa.
 
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
Umechemka kidogo kwenye upande wa wajita. Ni wavivu kulima sababu kazi yao kubwa ni uvuvi. Na wanakula sana samaki kuliko nyama. Pia wanaakili sana kuliko wakurya na hii inatokana na nature ya vyakula hasa samaki
 
Usije kujikoroga ukaoa wanawake wa kijiTa uTarogwaaaa ooohOoo
 
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni

Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime

Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya makabila hawataki kuonewa, kunyanyaswa au kudhulumiwa kitu chake hapo mtamalizana papo kwa papo kwa mbinu yeyote anaeijua yeye.

Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.

Makabila haya watu wake hawajui kuongea kwa kubembelezana wao kuongea kwao ni Kama amri ya Jeshi
Ukiwa mgeni katika mkoa wa Mara utajua namaanisha Nini.

Wanapenba kula ugali wa mtama uliochanganywa kwa unga wa muhogo (udaga) pamoja na samaki na nyama

Haya ndiyo niliyaona miaka 5 niliyoishi mkoa wa Mara

Girlfriend wangu ni mjita lakini kilasiku kawa ni mtu wa kulialia tu hasira zisizo na mpango hadi nafikiria kupiga chini mana naona hatutowezana kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom