Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Wanawake wa kijita ni wapole sana na wanajitahidi mno katika kuheshimu wanaume ukilinganisha na kabila la wakurya

Ila bahati mbaya sana wanawake wa kijita wanajiachia mnoo Kwenye swala la kutoa mbususu

Kinywaji chao cha asili katika ukanda wao hapo ni Buju
 
Unaongea vitu usivyovijua na pole sana
Wakurya na ushirikina ni vitu viwili tofaut
Hakuna mkurya mchawi hata mmoja dunia nzima
Wewe unaongelea matambiko ya wazee ndo unachanganya na uchawi hivyo ni vitu tifaut
Tambiko ziko kabila zote
Hakuna kabila lisilo na wachawi Tanzania.
Ni kweli wakurya si watu wa kuendekeza ushirikina, sababu ni watu wa "physical attack", lakini haimainishi hakuna mchawi hata mmoja ktk kabila lao, big no.
Wajita ndiyo watu wa ndumba sana tena sana. Na ndiyo maana maeneo mengi ya kwao (Majita na Bunda) maendeleo ni shida sana sababu ya kurogana wao kwa wao sababu ya wivu wa kimaendeleo.
 
mfano wa mtu mmoja hawezi kuflect kabila zima. Makabila yote yapo Jeshini, hata yale tunayoweza kuya refer kama weak tribes.

Ila huwezi ukaambiwa utaje makabila strong ukataja Wajita. Kwanza nature take shughuli za wajita na changamoto za maisha ktk historia zinadhihirisha Wajita ni kabila la aina gani.

By nature Wajita hawana nguvu (extra ordinary). Wajita wana nguvu kwenye kalamu.

Ukatili wa Wakurya.

Ukatili wa Wakurya ni sawa tu na ule wa Wajita ila jinsi ya kudeal na ukatili ndio tofauti.

Mkurya anadeal na hasira zake wazi kabisa kwa mapigano.

Ila Mjita atadeal kwa njia za Ushirikina, Ufitini, visasi na ile sumu ya Mamba kwenye chakula. Wajita na vikabila vyake zamani walikuwa na tabia ya kutia sumu kwenye chakula itakayoweza kukudhuru pole pole. Yaani unaweza kupewa sumu leo ukafa hata six months later.

Mtu mvivu anawezaje kuwa strong????
Wajita sio hard workers, sio majasiri, sio watu mnaoweza kupigana pamoja kwenye mapigano. Mjita anaweza kukutetea kwa mdomo tu sio kwa vitendo.

Lakini Wajita ni wasomi wazuri sana kwa level ya wastani. Uvivu na kuridhika ndio sababu iliyofanya wasiwe wasomi wakubwa na wabobezi nchi hii licha ya kwenda shule mapema sana.

Wakurya wamestaarabika na kwenda shule juzi tu, lakini wana wasomi wabobezi ngazi za uzamili na uzamivu wengi kwa sasa.

Wajita wamestack kwenye certificates na diploma za nursing na ualimu wa shule za msingi. Wajita kale ka tabia ka wivu sio kazuri.
 
Kwa hiyo tabia za wakurya za ukatili wa kutoana ngeu, kuuana bila sababu za maana, wizi wa mifugo na kutahili wanawake ndio nzuri? Kwanza wakurya ndio wamefanya mkoa wote wa Mara kuwa na sifa mbaya kwa sababu ya mambo ya ki-primitive wanayoyafanya.
Mkuu, hivi kuna mkoa bongo ambao hawauani?! Kila eneo la bongo watu wanauana kama siyo kwa silaha ni kwa ndumba....hivi mwendakuzimu na wafuasi wake walikuwa ni wakurya?!
 
Jamani niwakumbushe tu, sisi sote wa sehemu moja maana naona uzi umegeuka ni vita mura kati ya Wakurya na Wajita.

Hakuna maana yoyote
 
Kama hizo data umezikubali fanya calculations zako vizuri sasa.

Manyara Dodoma na Arusha wa makabila zaidi ya moja yanayokeketa wanawake. Kwa hiyo kwenye hizo asilimia wanagawana makabila kadhaa.

Lakini kwenye hizo asilimia 32 za mkoa wa Mara zaidi ya asilimia 90 zake ni Wakurya tu ndo wanakeketa wanawake. 😂😂😂😂
 
Karibu Mara kwa Ndoa za kijeshi Jeshi na maisha ya kibabe
 

Wewe ni mjita bila shaka

Uzoefu wangu na wakurya ni watu poa sana ila hawapendi dharau halafu kuhusu nguvu nyingi akili kisoda nakataa wakurya wote niliyosoma nao walikuwa nauwezo mkubwa darasani

Mkurya shida yake ni ana kisasi kibaya na maamuzi ya kikatili akichukia

Kuhusu kuwa smart yes wajita wapo snart sana na wapenda sifa na majungu

Wakurya rough, very straight na kuchukia unafiki


Bora uishi na mkurya mara 10 kuliko mjita ila lazima uwe na heshima na uache dharau
 
Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina
Uongo huu sasa..
Wale mkikosana muda wa kupelekana kwa waganga hawana. Ndo sabb ni wepesi kuchukua hatua za shuruti.
 
Duuh!
Kumbe waume wa iringa ni lainii kama mlenda🙄

 
Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"...

Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe)

"TANYABHERHA"

Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA"

Sentensi "Naomba unisamehe "

"Ndaghosasama tanyabhera"

Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia....

KUOMBA=OGHOSABHA

1. Naomba maji ....."ndasabha amanche"
2. Nipe maji...."tang'a amanche" (kwa uvivu tu wakutumia lugha fasaha, sentensi hii hutumika mara zote )
 
Mkurya anaangalia mahari aliyolipa, akioa mwanamke anaoa na kila alichokikuta kwa mwanamke nina maana kama ana watoto aliowazaa kabla ya ndoa ama baada ya ndoa wote ni watoto wake.

Na wala hakuna mwanaume anayejisumbua Kudai mtoto kwa mke wa mtu hata kama amefanana naye kama wachina wanavyofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…