road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Nasikia ni wataalamu wa kujisaidia Ziwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwajuavyo WAJITA kwa sababu nimeishi nao muda mrefu...
SIFA CHANYA
1.Wajita si kabila kubwa sana, ila wengi wao ni wasomi kuliko Wakurya na makabila mengi ya Kanda ya Ziwa (ukiondoa Wahaya na Wakerewe). Hasa levels za certificates,diploma, bachelor & masters' degree. Kule kwenye PhD ni wachache mno (mfano Prof.Biswalo,yule mtaalamu wa Psychology).
Walio wengi wamejazana kwenye Ualimu,Afya,majeshi, na kazi nyingine za elimu ya kawaida.
2.Wanapenda maendeleo na hushindana sana kutafuta maendeleo.Na akiyapatia maisha hanaga kujificha,lazima mtajua tu kuwa Bwire mambo yake sasa ni safi ile mbaya.
3.Ni moja ya makabila nadhifu kandokando ya Ziwa Victoria. Wanapenda kuvaa sana.Kuna mdau huko juu [emoji121]kasema si ajabu kumuona Mjita anaenda shambani kulima ila amechomekea,miwani juu,na pen kwenye mfuko wa shati.Just imagine!
4.Ni wakarimu sana,na wana huruma kwa matatizo ya wengine.Ukiwa na tatizo anakusaidia.Ukiona hajakusaidia ujue hana.
5.Moja ya makabila around the interlucustrine yaliyo vizuri kwenye mapenzi na mambo ya ndoa.
6.Wanaomboleza kwenye misiba yao haooo!Kama unataka kuanzisha kikundi cha kukodisha cha waliaji kwenye misiba,watafute hawa.Usipompata Mjita basi option ya 2 mtafute Mjaluo.
Yaani Mjita anatoka kwake kwenda msibani macho makavu na story za kufa mtu njiani,ila akifika within 1 kilometer to the msiba area kilio atakachoangusha hapo ni balaa! "Mayaweee,Manyama weswe kagendelee..Uuwiii, [emoji27][emoji24][emoji24]". Wanaliaga huku wanabwabwaja maneno kama yote yaani.
7.Wanapenda misosi ya asili sana.Hata kama umepika pilau lako siku ya Christmas au Eid,lazima na ugali wa muhogo umpikie. Wali sijui na pilau bila 'ubhusima' (ugali)? Hiyo siku mbona imekaa vibaya!
8.Kiimani,70% ya Wajita ni Wasabato.Yaani ni vigumu kuutenganisha Usabato na Ujita, na nilipokuwa mdogo kila Msabato niliyemuona nilijua kwa vyovyote atakuwa Mjita pia (kumbe wapo na wa madhehebu mengine,japo ni wachache).Hii ni ishara kuwa hawa watu waliupokea vyema Ukristo na kupitia huo wakapata elimu dunia.
N.B:Utaamua kama hizo namba 6 & 7 ni sifa njema ama la.
SIFA ZAO HASI
1.Ni waongo waongo,wambeya, wachonganishi, na Wanapenda kufatilia maisha ya wengine:unakula nini,unavaa nini,n.k. Hawa wanajulikana kama 'Wazaramo wa Kanda ya Ziwa'. Lake Zone yote wanawagwaya wajita kwa mdomo.
Pamoja na kusoma kwao,kile kiingereza cha " Mind your own business " hawakukielewa hadi leo. And for your information, CYPRIAN MUSIBA is a Jita man.Anatoka Iramba,wilayani Bunda.
2.Pamoja na ukarimu walio nao,akikusaidia lazima akutangaze. Na pia akijua maisha unayoishi utakoma.Nadhani wanafaa sana kufanya kazi kwenye Media House.
3.Wanaoishi pembeni ya Ziwa Victoria huwa hawana mabafu,wao huenda kuoga ziwani tena uchi wakionekana na kila mtu.Margin unayotenga sehemu wanayoogea wanaume na wanawake ni ndogo sana.
Ukiwa mgeni Ujitani unaweza kudhani uko Miami beach au Bahamas 'mambele' huko.Yaani unamwona Irene aliyemtongoza akakukataa anaoga na kichupi in the open space tena mchana kweupe, na baadaye jirani kidogo unamwona,Nyamisi,dada yako wa tumbo moja anaoga chuchu zimesimama kama msumari na kisha anavua chupi yake anainama na kuinuka akiifua, huku akijua wewe kaka yake unamuona mubashara. Aiseee,maisha gani haya?...sisi makabila mengine tulikuwa tunafedheheka kwakweli.
4.Jamaa hawa ni wabishi sana.Tena bora ukutane na Msabato Mpare kuliko Msabato Mjita,mtabishana mambo ya maandiko mpaka uombe poo!Na ni wabishi hata kwa mambo mengine.
5.Wamekubuhu kwa ushirikina na kuuana kwa sumu za mamba. Ikiwa utaenda kufanya kazi au biashara maeneo yao,na ukakwazana na watu wa huko,hunabudi kuchukua tahadhali ya hali ya juu:usikariri kula kwenye hoteli moja au kunywa kwenye baa ile ile,limit the number of friends. Ukizembea 'wafa, wagenda'.
6.Mengine wataendeleza wengine,maana namba 3 imenivuruga kichwa.
Usisahau: Msemaji wa timu ya football ya Ruvu Shooting, MASAU BWIRE,naye ni Mjita.
😳😅😅😅Wewe mkuu nimecheka sana, naona ulitaka kutuburudisha, ninavyokufahamu usingemwacha huyo mama😄😄😄Wajita ni kabila sijapata kuona wao kila kitu wanajua unaweza dhani ni kabila kubwa sana lakini sivyo.Wabishi mno mno ninachowapendea akiamua kukusema anasema kwa nguvu hadi unasikia.
Kuna mjita nilisoma naye zamani sana yeye ukianza tu kuongea kitu kabla hujafika mwisho ameshaanza kusema hamna hamna
Ukitaka kujua tabia za hawa watu Muangalie yule mwanaharakati ambaye siku hizi hasikiki tena na kigazeti chake anaitwa sijui nani vile jina linafanana na kifo kifo halafu nenda kamuangalie yule aliyekuwa anavaa magwandwa alikuwa waziri wa mambo ya ndani akatumbuliwa.
Kwenye kuoga ziwani siku moja nilishangaa sana.Nilikwenda ziwani nilikwenda kumtafuta kijana wangu niliambiwa anaoga huko niliogopa nikaamua kwenda maana wenzetu hata mamba wanawajua hawawakamati.Kufika nikakuta wanawake wanaoga na wanaume ila wametenganishwa na uzio mdogo sana nikasogea karibu sikujua ni kwa wanawake nikamkuta mama mmoja mtu wa makamu akaniambia wewe rikijana umefuata nini huku yaania amesimama anajisugua na jiwe namuona kila kitu kwa mbele nikaona hadi ile antenna ya chini akaniambia we rikijana kama unataka hii si useme tu unafikir sisi tunaogopa njoo huku nilikimbia siku hiyo
Huyo ni mruliHuyu MASAU BWIRE nafikiri sio mjita halisi bali ni mkwaya.
😀😀😀😀😀Asilimia kubwa ni wasabato.
yaani analea bao la mwanaume mwengine?Kuna habari moja nilisikia mkurya akitengana kwa muda na mke wake alafu huyo mke akakutana na mwanaume mwingine na wakazaa watoto ikitokea tena mkurya akarudiana na huyo mke wake basi anadai na hao watoto aliozaa huyo mwanamke na yule mwanaume wapili,je habari hii ni kweli?
Mkurya hata akioa mwanamke mwenye mtoto/watoto hao ni wake wote hawabagui.Kuna habari moja nilisikia mkurya akitengana kwa muda na mke wake alafu huyo mke akakutana na mwanaume mwingine na wakazaa watoto ikitokea tena mkurya akarudiana na huyo mke wake basi anadai na hao watoto aliozaa huyo mwanamke na yule mwanaume wapili,je habari hii ni kweli?
Wanawake wa kijita ni malaya, hata nikipewa bure wapo addicted sana na ngono ukiwa na hela tu unamchukua, miaka 10 nimeishi nao kibara, nyamitweibili, neruma, kenkombyo and other more!Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni
Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime
Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya makabila hawataki kuonewa, kunyanyaswa au kudhulumiwa kitu chake hapo mtamalizana papo kwa papo kwa mbinu yeyote anaeijua yeye.
Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.
Makabila haya watu wake hawajui kuongea kwa kubembelezana wao kuongea kwao ni Kama amri ya Jeshi
Ukiwa mgeni katika mkoa wa Mara utajua namaanisha Nini.
Wanapenba kula ugali wa mtama uliochanganywa kwa unga wa muhogo (udaga) pamoja na samaki na nyama
Haya ndiyo niliyaona miaka 5 niliyoishi mkoa wa Mara
Duuuh! Sikuwa na nia ya chuki za kikabila kutoa matusi. Nimeeleza wasifu wao. Sio kwamba sijui madhaifu ya makabila mengine. Najua sana ila haina aja. Na wala sijawahi ona makabila ya Mara yakitukanana au kudharauliana. Japo ndo mkoa unao ongoza kwa makabila mengi. Ndo makabila yanaongoza kwa kuitana port. Ikimaanisha wa nyumbani. Kuwa mstaarabu heshimu jamii. Matusi uwa ni upuuzi tu.We huwajui wajita mkuu.
Huwezi kufananisha wajita na wakurya kitabia.
Wakurya ni watu hawanaga mambo za kiboya. Wajita 99% mambo ya kikekike sana.
Ukiangalia comenti za wadau humu utagundua kuwa wajita tabiabza hovyo tupu.
Ni mjita halisi kabisaHuyu MASAU BWIRE nafikiri sio mjita halisi bali ni mkwaya.
Kasahunga na Nambaza kwa wachawi,Nyamitweibili kwao Kangi Lugola,nenda Bunere hadi Kisorya, halafu kuna Mchigondo,Sikiro,n.k 😁😁😂👊Wanawake wa kijita ni malaya, hata nikipewa bure wapo addicted sana na ngono ukiwa na hela tu unamchukua, miaka 10 nimeishi nao kibara, nyamitweibili, neruma, kenkombyo and other more!
Omla unu uli ebhei sana awe.Kasahunga na Nambaza kwa wachawi,Nyamitweibili kwao Kangi Lugola,nenda Bunere hadi Kisorya, halafu kuna Mchigondo,Sikiro,n.k [emoji16][emoji16][emoji23][emoji109]
Pale Kibara Mission Hospital sitapasahau maana walimuua mtoto wa mfanyakazi mwenzangu kizembe sana.Mke wa staff mate huyo alikuwa amejifungua mtoto njiti,so walikuwa wamekaweka katoto hako kwenye incubator hadi katimize miezi 9.Wazazi walikuwa na kawaida ya kukatembelea na kukapelekea mavazi ya kubadilisha.
Sasa kalikufaje?Kuna siku nurse aliyeingia zamu ya usiku alisahau kufunga incubator baada ya kuwa amekafanyia usafi na kukabadilishia nguo.Asubuhi yake manesi wanakabidhiana zamu wakagundua mtoto kashafariki kwa kupigwa baridi. Aiseee tuliwawashia moto na ilikuwa tuwaburuze kwenye sheria ila mwenye mtoto akasikiliza ushauri wa watu wa kusamehe,na akasamehe kweli.Baada ya miaka 2 baadaye tukahamia mkoa mwingine kikazi.
😁😁😂 nabhaki wasu? anye nili wa kisi.Omla unu uli ebhei sana awe.
Wajita ndio wanatuharibia Mkoa wetu walio wengi ni wachoyo,wasenganyaji,majivuno na wachawi
Ni Mruli wa Bwai huyoNi mjita halisi kabisa
Basically Wakwaya na Waruri na Wakara na Wajita wa Ukerewe wote ni wajita tu ndio maana tunaongea lugha moja na hata mila na tamaduni ni zile zile japo lafudhi (accent) zao kidogo ni tofauti kwa sababu ya muingiliano na makabila mengine. Infact ukifuatilia historia wakwaya ndio wanaongea kijita original. Kama Wachaga wamachame, warombo, wakibosho n.k wote wanaitwa Wachaga tena wao hata lugha hawasikilizani sana kwa nini wakwaya, waruri na wakara plus wajita wa ukerewe wasitwe wajita? Waruri, Wakwaya, wakara na wajita wa ukerewe hawa wote ni sub-tribes za kabila la wajita. NJE YA MKOA WA MARA HUWEZI KUWASIKIA WAKIJATAMBULISHA KWAMBA WAO NI WARURI AU WAKWAYA AFADHALI WAKARA KIDOGO LAKINI NAO WAO WENGI HUWA WANAJITAMBULISHA KAMA WAJITA AU WAKEREWE.Ni mjita halisi kabisa
Ona sasa na wewe umeamua nicheke sana 😀😀😀😀 si wongo nilisimamisha siku hiyo ingekuwa giza ningemsogelea yule mama tuyamalize kikubwa😳😅😅😅Wewe mkuu nimecheka sana, naona ulitaka kutuburudisha, ninavyokufahamu usingemwacha huyo mama😄😄😄