Usiyoyajua kuhusu mimi

Usiyoyajua kuhusu mimi

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Usiyoyajua kuhusu mimi

1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.

2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.

3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.

4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua bidhaa kwangu au kuniona mtu wa maana, mimi nitafanya jambo lililo sahihi tu,wewe utachagua usmuzi unaotakiwa kuufanya.

5. Nikihitaji ushauri nitakufuata kukuomba ushauri, huwa sipokei ushauri endapo wewe ndio unauhitaji mkubwa wa kunishauri, nikishaanza kuona unanilazimishia ushauri wako naanza kuhisi kuna biashara umeiona unataka kuielekezea kwako au unataka kunivuruga ili nipoteze malengo.

6. Sina chuki na mtu za kudumu, hata kama uliwahi kunikosea ikiwa upo kwenye eneo lenye fursa kwangu tunaweza kuzungumza na kupanga mipango ya kazi

7. Ikiwa hatuna biashara yoyote na wewe usitegemee kuona simu yangu, na sina chuki yoyote na wewe ila nataka ukae mbali kidogo usinikaribie sana, nipende kwa mbali usianze kunipigia pigia simu za kunisalimia

8. Hakuna namna unaweza kunitenganisha mimi na chama cha mapinduzi, endapo wewe hupendi kabisa chama cha mapinduzi nakuomba ukae mbali kidogo na mimi, nita deal na wanachama na wapenzi wa chama cha mapinduzi tu

9. Kama hunipendi usijihangaishe kuniambia natambua kwamba sio watu wote watanipenda

10. Sitaki stress, ukiingia katika maisha yangu usiniletee stress, lawama, kunitisha, kunionea huruma au kuniletea habari zako za masikitiko, changamoto zako anza kupambana nazo mwenyewe, hata mimi ninazo ila napigana nazo

Comrade Ally Maftah
 
46c138cae2-samaki-bungeni.jpg
 
Wewe ni nani kwanza una cheo gani Mpaka tujue kukuhusu wewe ndo kwanza nakusikia leo.. Me ndo maana mambo ya chama haya ya kusaka uchawa na uteuzi nashukuru niliachana nayo huko 2021 baada ya kula check namba na sitarudi Tena kwenye siasa yaanini kujipa pressure na kujikweza kweza.. Yaani eti kijana anadiriki kusema hatashirikina na wasio wa CCM kama sio UJINGA hiko ni kitu gani sasa.
 
Unajua hii picha huwa siielewagi ina tatizo gani? Kwani kila kitu kazi duniani si kuna kitu kinaitwa parameters na instruments na lengo huwa data.. Sasa kama fani ya samaki inazikubali mbinu za kujua size ya samaki anayetakiwa na mbinu ya ruler inakubalika kwa standard zao.. Shida nini mpaka ionekane ni kitu cha ajabu kwetu sisi?? Me niko fani ya maji hivyo sekta ya samaki sijui lolote.. Naomba ufafanuzi please
 
USIYOYAJUA KUHUSU MIMI

1. NIKISHAANZA UTEKELEZAJI HUWA SITAKI USHAURI KATIKA SAFARI YA UTEKELEZAJI
2. SIMWOGOPI MTU YOYOTE KWA SABABU PIA NAJITAHIDI KUTOVUNJA SHERIA
3. NIKIAMINI JAMBO LINAWEZEKANA NITAMINI HIVYO MPAKA NIKILIFANYA LIKASHINDIKANA
4. SIMBEMBELEZI MTU KUNIPENDA, KUNUNUA BIDHAA KWANGU AU KUNIONA MTU WA MAANA, MIMI NITAFANYA JAMBO LILILO SAHIHI TU,WEWE UTACHAGUA USMUZI UNAOTAKIWA KUUFANYA
5. NIKIHITAJI USHAURI NITAKUFUATA KUKUOMBA USHAURI, HUWA SIPOKEI USHAURI ENDAPO WEWE NDIO UNAUHITAJI MKUBWA WA KUNISHAURI, NIKISHAANZA KUONA UNANILAZIMISHIA USHAURI WAKO NAANZA KUHISI KUNA BIASHARA UMEIONA UNATAKA KUIELEKEZEA KWAKO AU UNATAKA KUNIVURUGA ILI NIPOTEZE MALENGO
6. SINA CHUKI NA MTU ZA KUDUMU, HATA KAMA ULIWAHI KUNIKOSEA IKIWA UPO KWENYE ENEO LENYE FURSA KWANGU TUNAWEZA KUZUNGUMZA NA KUPANGA MIPANGO YA KAZI
7. IKIWA HATUNA BIASHARA YOYOTE NA WEWE USITEGEMEE KUONA SIMU YANGU, NA SINA CHUKI YOYOTE NA WEWE ILA NATAKA UKAE MBALI KIDOGO USINIKARIBIE SANA, NIPENDE KWA MBALI USIANZE KUNIPIGIA PIGIA SIMU ZA KUNISALIMIA
8. HAKUNA NAMNA UNAWEZA KUNITENGANISHA MIMI NA CHAMA CHA MAPINDUZI, ENDAPO WEWE HUPENDI KABISA CHAMA CHA MAPINDUZI NAKUOMBA UKAE MBALI KIDOGO NA MIMI, NITA DEAL NA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TU
9. KAMA HUNIPENDI USIJIHANGAISHE KUNIAMBIA NATAMBUA KWAMBA SIO WATU WOTE WATANIPENDA
10. SITAKI STRESS, UKIINGIA KATIKA MAISHA YANGU USINILETEE STRESS, LAWAMA, KUNITISHA, KUNIONEA HURUMA AU KUNILETEA HABARI ZAKO ZA MASIKITIKO, CHANGAMOTO ZAKO ANZA KUPAMBANA NAZO MWENYEWE, HATA MIMI NINAZO ILA NAPIGANA NAZO

Comrade Ally Maftah
Mheshimiwa samahani, elimu yako tu hujatwambia.
 
Usiyoyajua kuhusu mimi

1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.

2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.

3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.

4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua bidhaa kwangu au kuniona mtu wa maana, mimi nitafanya jambo lililo sahihi tu,wewe utachagua usmuzi unaotakiwa kuufanya.

5. Nikihitaji ushauri nitakufuata kukuomba ushauri, huwa sipokei ushauri endapo wewe ndio unauhitaji mkubwa wa kunishauri, nikishaanza kuona unanilazimishia ushauri wako naanza kuhisi kuna biashara umeiona unataka kuielekezea kwako au unataka kunivuruga ili nipoteze malengo.

6. Sina chuki na mtu za kudumu, hata kama uliwahi kunikosea ikiwa upo kwenye eneo lenye fursa kwangu tunaweza kuzungumza na kupanga mipango ya kazi

7. Ikiwa hatuna biashara yoyote na wewe usitegemee kuona simu yangu, na sina chuki yoyote na wewe ila nataka ukae mbali kidogo usinikaribie sana, nipende kwa mbali usianze kunipigia pigia simu za kunisalimia

8. Hakuna namna unaweza kunitenganisha mimi na chama cha mapinduzi, endapo wewe hupendi kabisa chama cha mapinduzi nakuomba ukae mbali kidogo na mimi, nita deal na wanachama na wapenzi wa chama cha mapinduzi tu

9. Kama hunipendi usijihangaishe kuniambia natambua kwamba sio watu wote watanipenda

10. Sitaki stress, ukiingia katika maisha yangu usiniletee stress, lawama, kunitisha, kunionea huruma au kuniletea habari zako za masikitiko, changamoto zako anza kupambana nazo mwenyewe, hata mimi ninazo ila napigana nazo

Comrade Ally Maftah

View attachment 3041866
Kwahiyo siku ccm ikiamua wote mtinduliwe wewe utakua mstari wa mbele kutinduliwq.

Hakika uiwa sisiemu unakua na upunguani wa akili
 
8. HAKUNA NAMNA UNAWEZA KUNITENGANISHA MIMI NA CHAMA CHA MAPINDUZI, ENDAPO WEWE HUPENDI KABISA CHAMA CHA MAPINDUZI NAKUOMBA UKAE MBALI KIDOGO NA MIMI, NITA DEAL NA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TU

1. Kwa nini umeandika kwa maherufi makubwa? Unamfokea nani?

2. Wewe ni nani hasa? Chawa wa CCM? Kwa nini unafikiri na kuamini kuwa watu ni lazima wakufahamu wewe na misimamo yako?

3. Naamini una ugonjwa wa akili unaoitwa Narcissistic Personality Disorder (NPD). Ni ugonjwa mbaya ambao utakufanya uhangaike maisha yako yote. Wahi kwa wanasaikolojia wazuri watakusaidia. Kwa sasa unaamini kuwa wewe ndiye una akili kuliko mtu ye yote, ni wa muhimu sana pengine kuliko ye yote huko UVCCM; na kwamba unastahili kuwa mtu mkubwa sana, kupendwa, kuabudiwa na kuwa kwenye zulia jekundu. Ye yote anayejaribu kukukosoa au kwenda kinyume na wewe huyo ni adui mkubwa na uko tayari hata kumteka na kumuua...and it will only get worse!

Tafuta msaada kungali mapema!

Screenshot_20240714_073503_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073545_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073601_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073611_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073617_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073628_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073634_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240714_073648_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom