Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
Usiyoyajua kuhusu mimi
1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.
2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.
3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.
4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua bidhaa kwangu au kuniona mtu wa maana, mimi nitafanya jambo lililo sahihi tu,wewe utachagua usmuzi unaotakiwa kuufanya.
5. Nikihitaji ushauri nitakufuata kukuomba ushauri, huwa sipokei ushauri endapo wewe ndio unauhitaji mkubwa wa kunishauri, nikishaanza kuona unanilazimishia ushauri wako naanza kuhisi kuna biashara umeiona unataka kuielekezea kwako au unataka kunivuruga ili nipoteze malengo.
6. Sina chuki na mtu za kudumu, hata kama uliwahi kunikosea ikiwa upo kwenye eneo lenye fursa kwangu tunaweza kuzungumza na kupanga mipango ya kazi
7. Ikiwa hatuna biashara yoyote na wewe usitegemee kuona simu yangu, na sina chuki yoyote na wewe ila nataka ukae mbali kidogo usinikaribie sana, nipende kwa mbali usianze kunipigia pigia simu za kunisalimia
8. Hakuna namna unaweza kunitenganisha mimi na chama cha mapinduzi, endapo wewe hupendi kabisa chama cha mapinduzi nakuomba ukae mbali kidogo na mimi, nita deal na wanachama na wapenzi wa chama cha mapinduzi tu
9. Kama hunipendi usijihangaishe kuniambia natambua kwamba sio watu wote watanipenda
10. Sitaki stress, ukiingia katika maisha yangu usiniletee stress, lawama, kunitisha, kunionea huruma au kuniletea habari zako za masikitiko, changamoto zako anza kupambana nazo mwenyewe, hata mimi ninazo ila napigana nazo