Hizo tuhuma kwa Simba, lakini CAF hawajawahi kutoa adhabu yoyote kwahivyo ilikuwa tuhuma mfu, lakini Yanga wamelalamikiwa na Club African na Rivers na wakatozwa faini, sasa jionee tofauti.Kuna timu ilikuwa inabadilishia jezi koridoni, kufuatia tuhuma za kila timu iliyokuwa inacheza na Simba kulalamika kuwa Simba hupulizia hewa isiyo salama. Je Simba ni kweli mlikuwa mnayafanya hayo? Au mlikuwa mnazingiziwa?
Simba haijawahi kupigwa faini kwa kosa hilo wala kushitakiwaKuna timu ilikuwa inabadilishia jezi koridoni, kufuatia tuhuma za kila timu iliyokuwa inacheza na Simba kulalamika kuwa Simba hupulizia hewa isiyo salama. Je Simba ni kweli mlikuwa mnayafanya hayo? Au mlikuwa mnazingiziwa?
Atalia mtu kule 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AL HABIB HABIB
Mbona unakuwaga unajishtukia sana, Simba wameingiaje katika mjadala huu?Kuna timu ilikuwa inabadilishia jezi koridoni, kufuatia tuhuma za kila timu iliyokuwa inacheza na Simba kulalamika kuwa Simba hupulizia hewa isiyo salama. Je Simba ni kweli mlikuwa mnayafanya hayo? Au mlikuwa mnazingiziwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hao wajinga wamefanya makusudi ili kuleta hasira kwa Mashabiki wao!!Mbona tunakwenda kukoma huko arabuni
Ukweli unaumaga eehUmeshavimbiwa makande sasa umekuja kujambajamba JF.
Hili jukwaa limekuwa la hovyo sana siku hizi.
Anza wewe kuacha umbea kwanza n unafikiTaarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa.
Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya Jumapili iliyopita kutokana na tukio hilo na mengine ya usumbufu na unyanyasaji waliyofanyiwa.
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza wala ya pili kwa Yanga kushitakiwa na kulipishwa faini na CAF kwa makosa kama haya.
Ushauri wangu, Yanga kama wanataka kukua na kujijengea heshima kisoka waachane na mambo haya.
Kama ziko official mezani kwa caf tusubiri tamko. Ila kwangu mimi, naona hii ni mind game ya waarabu, na yanga sc anatakiwa ajiandae kimwili na kisaikolojia kwenye mechi ya marudiano.Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa.
Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya Jumapili iliyopita kutokana na tukio hilo na mengine ya usumbufu na unyanyasaji waliyofanyiwa.
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza wala ya pili kwa Yanga kushitakiwa na kulipishwa faini na CAF kwa makosa kama haya.
Ushauri wangu, Yanga kama wanataka kukua na kujijengea heshima kisoka waachane na mambo haya.
Huko Uarabuni wataweka kinyesi kibichi cha mlevi wa gongo plus ili kiwe na harufu kali ya sumu.Hapo hao wajinga wamefanya makusudi ili kuleta hasira kwa Mashabiki wao!!Mbona tunakwenda kukoma huko arabuni