USM Alger waishitaki Yanga kwa kupuliziwa hewa isiyo salama vyumbani

USM Alger waishitaki Yanga kwa kupuliziwa hewa isiyo salama vyumbani

Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa.

Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya Jumapili iliyopita kutokana na tukio hilo na mengine ya usumbufu na unyanyasaji waliyofanyiwa.

Ikumbukwe hii si mara ya kwanza wala ya pili kwa Yanga kushitakiwa na kulipishwa faini na CAF kwa makosa kama haya.

Ushauri wangu, Yanga kama wanataka kukua na kujijengea heshima kisoka waachane na mambo haya.
Mbumbumbu ni fedheha sana kwa Taifa hili.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
20230530_154527.jpg
 
Back
Top Bottom