Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
dah! unawashwa ina maana gani?!
Hee!
Wewe ni Mswahili mwenzetu kweli , au Mzungu ? Staki kuamini kama
huelewi neno "kuwashwa" maana yake !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! unawashwa ina maana gani?!
Mamboz wana cc.........
mmh ngoja niwaambie yalonikuta maana nimejikuta nakutana Live na member mwenzangu bila kutarajia
mie ni mtu wa JF sana hata ofisini huwa wananiita mama wa JF sasa jana niko ofisin
kuna kaka mmoja tunafanya nae kazi..akawa ananiambia hebu nitajie jina lako la JF
nikamkatalia...kumbe na yeye ni member tena active tu
YEYE;akasema wewe utakuwa King'asti
H.O.E; hapana bana sio mimi ila ID yangu hata sikutajii.....
YEYE; King'asti nae mtata yule.....Ila huwa napenda kusoma comments zake
H.OE nikamwambia kumbe wawafaham watu enhe
Nikajua yameisha akaendelea
YEYE:au wewe ni Heaven on Earth
H.O.E:wala sio mimi...ndio nani huyo kwanza maana mi siwajui watu wengi JF
YEYE:Kadada fulani hivi kana majibu ya mkato hako...ila kanaonekana kako charming
H.O.E nikacheka tu nikasema sio mimi......(Sijui kwanini alikuwa anasema "KA")
akaendelea tu
YEYE: au wewe utakuwa amu
H.O.E nikamwambia bana hapana huyo nae ni nani...wote siwajui na mie sio active kihivo
YEYE:Mhh sio active wewe......Unanidanganya Live LIVE
H.OE:Ndio na wote ulionitajia sio mimi..na ID yangu sikutajii
maongezi yakaisha baadae alikuja kwenye desk langu sa mie nishajisahau akaona ID yangu
kachekaje huyo kumbe wewe ndio H.O.E lol...
na mie sijakubali ka umejua yangu na wewe hadi nijue ID yake kuja kunitajia Lahaula kumbe wakati
tunapishana kona za JF na huku Ofisini tunapishana pia....nimecheka sana alivyonitajia ID yake........
na huku tunatanianaga sana.....ni mtu wa karibu pia ...Nilifurahi sana tu
basi siku hizi ananiita H.OE akinitext ndio anasema Heaven on earth......
Ila nilicheka sana tu
Long Live JF
please dont use H.O.E coz it rhymes with W.H.O.R.E.....
akikuitaga HOE sijui HOHE na wewe unamuitagaje?basi siku hizi ananiita H.OE akinitext ndio anasema Heaven on earth......
Ila nilicheka sana tu
Long Live JF
akikuitaga HOE sijui HOHE na wewe unamuitagaje?
natamani namie nimjue huyo uliyekutana nae. lol. hebu ajitaje basi tupate uhondo kamili
namuita jina lake tu
kwa mfano ukiamua kumrudishia kwa kumuita lile la JF utamuitaje?
tehe tehe....amechangia? muongo wewe....nitakuaminije?hahaha Consigliere nilijua ndio unakoenda huko keshakuja na kuchangia mbona hum
hahaha raha ya stori kuwajua wahusika nitakwambia shoga angu
tehe tehe....amechangia? muongo wewe....nitakuaminije?