Usomaji wa chuo kikuu

Usomaji wa chuo kikuu

michlion

Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
6
Reaction score
12
Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve mitiani mingi na maswali mengi je chuo ni njia gani naweza kutumia
 
Ili kuwa na ufaulu mkubwa chuo kikuu unapaswa kuwa flexible, katika degree program moja unaweza kuta kuna courses zaidi ya 50 ambapo hufundiswa na walimu tofauti tofauti. Si kila mwalimu anataka u-kramu notes zake wengine wanapima uelewa.

Kwanza kipende unachokisoma, jaribu kukileta katika mazingira halisi na sio kukisoma tu kwenye notes. Try to reflect.
Pia, Kitu cha msingi ni kujua philosophy ya mwl katika kutunga na kumark mitihani, hili ni jambo la msingi sana.

From my experience, Wapo waliokesha na notes za walimu lakin waliambulia namba za viatu, wapo waliosolve past papers lakin waliishia kupata makarai na hata sup.

Ufaulu mkubwa na jitihada zinazotokana na kufanya vitu vingi, usimiss lecture, elewa mwl wako anauliza vip na anataka maswali yajibiwe vip, jisomee notes kwa Sana, fanya discussion kidogo.

Hapo bila shaka utafaulu
 
Hakikisha unaelewa kila kinachofundishwa, usipoelewa omba msaada kwa mtu, then jisomee sana peke yako kuliko kufanya discussion. Yani discussion asilimia 25 kujisomea peke yako 75. Then unapojisomea peke yako kuna vitu unaweza usielewe vizuri. Hivyo vitu tafuta mtu na wakati wa discussion ulizia wenzako. Jitahidi pindi unapokuwa na discussion usiwe mpenzi msikilizaji Bali changia mada kadri uwezavyo hii tabia itakujenga zaidi katika kukumbuka vitu unavyovisoma. Ni hayo tu
 
Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve mitiani mingi na maswali mengi je chuo ni njia gani naweza kutumia
Kuna malecture wanatosha sup kusudi tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve mitiani mingi na maswali mengi je chuo ni njia gani naweza kutumia
Mambo ni moto aloo, inategemea upo chuo gani,(maana kila chuo lazma kuna ka-format cha usomaji kapo) pia Company zako zita-determine namna ya usomaji wako, ukikaa na wazima moto utazima moto tuu kama mimi [emoji854]
 
Hakikisha unaelewa kila kinachofundishwa, usipoelewa omba msaada kwa mtu, then jisomee sana peke yako kuliko kufanya discussion. Yani discussion asilimia 25 kujisomea peke yako 75. Then unapojisomea peke yako kuna vitu unaweza usielewe vizuri. Hivyo vitu tafuta mtu na wakati wa discussion ulizia wenzako. Jitahidi pindi unapokuwa na discussion usiwe mpenzi msikilizaji Bali changia mada kadri uwezavyo hii tabia itakujenga zaidi katika kukumbuka vitu unavyovisoma. Ni hayo tu
Nashukuru ntafanyia kazi
 
Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve mitiani mingi na maswali mengi je chuo ni njia gani naweza kutumia
Sasa anza kujifunza njia za critical thinking(kufikiri kwa umakini) na research(utafiti) sababu chuo hakuna kufundishwa ni lecturer anakuja na topic anajadili chini ya nusu saa halafu anaanza kuwaletea stori zake za maisha yake...
Wewe chukua dondoo za topic nenda kasome mwenyewe au na shiriki mshikaji mmoja tu mtakaoelewana na mwenye mienendo kama yako kimasomo...
Sasa kuna internet kila kona bongo, lakini usikopi na kubandika unayoyakuta mtandaoni, yaelewe na kuyawakilisha kwa mtazamo wako....

Kama ni Sayansi unasoma, kuna Khan Academy na tovuti nyingi za masomo ya sayansi za bure, na kama kuna IT library ya chuo basi hela ya bando imepona
Sahau mambo ya kukariri na kujibu mitihani ya zamani....
 
Hakikisha unaelewa kila kinachofundishwa, usipoelewa omba msaada kwa mtu, then jisomee sana peke yako kuliko kufanya discussion. Yani discussion asilimia 25 kujisomea peke yako 75. Then unapojisomea peke yako kuna vitu unaweza usielewe vizuri. Hivyo vitu tafuta mtu na wakati wa discussion ulizia wenzako. Jitahidi pindi unapokuwa na discussion usiwe mpenzi msikilizaji Bali changia mada kadri uwezavyo hii tabia itakujenga zaidi katika kukumbuka vitu unavyovisoma. Ni hayo tu
Hapo kwenye asilimia hapana aisee! Discussion ina umuhimu sana kwa ufaulu wa chuo!

Nashauri iwe walau 60 kwa 40%!
 
Ila usichoke penda sana discussion then ukisoma ulivyosema advance basi itafaulu ishu nyingine life style unayoish jitahidi kama unafanya mambo yale ya totoz ufanye ila juhsi kama mwanafunzi uhuru usizidi
 
Huu ndio ukweli discussion hailet maajabu, dogo Soma personnel komaa hasa hizo za diski hadithi tu
kweli mkuu, ili nimeprove kabisa, kuna siku moja nilienda kwenye discussion tukaanza kupitia past paper(simbi) maswali mengi wadau wakawa wanafunua notes kutafuta majibu. Basi toka siku hiyo niliwashauri kabla ya kuja kudiscuss basi ni muhimu kusoma kwanza. Na sikurudi tena kwenye discussion.

Kuna muda wadau wanatoka kwenye paper nawasikia wakijadiliana; halafu swali Fulani tulidiscuss Jana asee sema sikulitilia maanani dah! Nimejibu jibu hivyo hivyo naweza kupata hata marks kadhaa. Wakati huo mm kwenye discussion sikuwepo na nimelijibu swali lote ki ufasaha sana coz nilisoma vizuri kwenye notes. Na pia wataalamu walishafanya utafiti wakagundua kuwa mwanafunzi anayetumia masaa mengi kujisomea mwenyewe ndiye anayefaulu zaidi.
 
Back
Top Bottom