Usomaji wa chuo kikuu

Usomaji wa chuo kikuu

wanafunzi wanaofaulu sana ni wale wanaotumia muda mwingi kujisomea wenyewe iwe msingi au chuo.
Nalitambua hilo ndio maana nikasema iwe 60% kujisome na 40% discussion!

Au hapo kujisomea ina asilimia ndogo kuliko discussion?
 
Exactly mkuu.Kujisomea mwenyewe kuna faida kubwa sana kuliko discussion ambapo wengi wao wanaenda si kwa lengo hasa la discussion.
Labda kwenye hiyo discussion muwe mnatumia mda mrefu kujadili simba na yanga hapo sawa!

Ila kama disc nnazo zijua basi uko very wrong.

NB: wewe nawe utakua tatizo hivi unaendaje discussion group ambayo watu hawaendi kwa ajili ya kusoma?
 
huyu akipataa lile boom la kwanzaa hataa hatoikumbukaa hii thread kamaa kaandikaaa
 
kweli mkuu, ili nimeprove kabisa, kuna siku moja nilienda kwenye discussion tukaanza kupitia past paper(simbi) maswali mengi wadau wakawa wanafunua notes kutafuta majibu. Basi toka siku hiyo niliwashauri kabla ya kuja kudiscuss basi ni muhimu kusoma kwanza. Na sikurudi tena kwenye discussion.

Kuna muda wadau wanatoka kwenye paper nawasikia wakijadiliana; halafu swali Fulani tulidiscuss Jana asee sema sikulitilia maanani dah! Nimejibu jibu hivyo hivyo naweza kupata hata marks kadhaa. Wakati huo mm kwenye discussion sikuwepo na nimelijibu swali lote ki ufasaha sana coz nilisoma vizuri kwenye notes. Na pia wataalamu walishafanya utafiti wakagundua kuwa mwanafunzi anayetumia masaa mengi kujisomea mwenyewe ndiye anayefaulu zaidi.
Mimi nilifwata huo mfumo wa kujisomea alone nikiwa 1 yr (baada ya kutoka na one nzuri tu advance) kilicho nikuta Mungu anajua, kama sio kubadili gia angani na kuanza kusoma alone pamoja na discussion nisinge maliza chuo!

Discussion ina umuhimu sana hasa kama utaenda ukiwa umejisomea na una ielewa topic vizuri plus group liwe na watu serios.

Ndio maana nikasisitiza lazima iwe 60 kwa 40%!

Discussion ni muhim acheni utani!!

NB: Sometimes inategemea na kozi unayo soma!
 
Labda kwenye hiyo discussion muwe mnatumia mda mrefu kujadili simba na yanga hapo sawa!

Ila kama disc nnazo zijua basi uko very wrong.

NB: wewe nawe utakua tatizo hivi unaendaje discussion group ambayo watu hawaendi kwa ajili ya kusoma?
Mkuu mimi binafsi nimekuwa nikipata ufaulu wa juu kwa kujisomea peke yangu sijawahi kuhudhuria discussion yoyote.

Hata kwenye group za seminar/presentation huwa siendi kudiscuss bali nakaa nasoma swali husika naenda ku present pasipo shaka yoyote.Hata library huwa ni mwiko kuingia huwa nasoma online vitabu but anayehudhuria library kila siku hajawahi kunipata si course work ama mitihani ya mwisho.
 
Mimi ilikua kinyume na wewe. Bila kujisomea kwa nguvu na disc ya maana nisinge maliza chuo.
 
Wakati wa kukaribia mitihani pia solve papers [emoji16]
 
Mimi nilifwata huo mfumo wa kujisomea alone nikiwa 1 yr (baada ya kutoka na one nzuri tu advance) kilicho nikuta Mungu anajua, kama sio kubadili gia angani na kuanza kusoma alone pamoja na discussion nisinge maliza chuo!

Discussion ina umuhimu sana hasa kama utaenda ukiwa umejisomea na una ielewa topic vizuri plus group liwe na watu serios.

Ndio maana nikasisitiza lazima iwe 60 kwa 40%!

Discussion ni muhim acheni utani!!

NB: Sometimes inategemea na kozi unayo soma!
kama ulikuwa unamsikiliza lecturer vizuri na kumuelewa, notes unasoma unazielewa shida ilikua nini mkuu? Naweza nikasema kuna vitu ulikuwa huvielewi wakati wakujisomea na wewe ukawa hutafuti mtu akueleweshe. Na hii kumtafuta mtu akueleweshe tukumbuke siyo discussion.
 
Upo sahihi kabisa mkuu mimi ndo ulikuwa mtindo wangu wa kujisomea mwisho wa siku naondoka na gpa kubwa kuliko walikuwa discussion musa mwingi hadi wananishangaa.

Kujisomea peke yako kuna faida kubwa sana.
Hapana.

Kuna watu hawawezi kusoma pekee yao. Discussion zinawasaidia.

Na kuna watu disc huwa tunaenda tukichoka kusoma pekee yetu. Au kuongezea ideas.

Ni vizuri kujitambua uko kwenye kundi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kutoka chuo ukiwa umeelimika na umepanua uelewa, basi usitegemee notes za mihadhara tu. Soma sana na marejeo (Vitabu na Makala mbalimbali) ambayo wahadhiri wanayatumia na wanayatoa wakati wa mihadhara.

Hii itakupelekea ufaulu na umalize chuo ukiwa umeelimika.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hapana.

Kuna watu hawawezi kusoma pekee yao. Discussion zinawasaidia.

Na kuna watu disc huwa tunaenda tukichoka kusoma pekee yetu. Au kuongezea ideas.

Ni vizuri kujitambua uko kwenye kundi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wasiyoweza kusoma peke yao kiufupi tu wanakuwa hawajamsikiliza lecturer vizuri na kumuelewa, au watolo wa vipindi, au wanauwezo mdogo wa kuelewa jambo hivyo basi kupitia discussion wanaelewa vizuri. Lakini tukumbuke baada ya kuelewa Jambo ni lazima utenge muda wako ujisomee zaidi lile ulilolielewa ikiwemo kupitia vitabu mbalimbali na mitandaoni huko. Hivyo hata kama utafanya discussion ni lazima kujisomea peke yako kutumie muda wako mwingi sana
 
Hapo kwenye asilimia hapana aisee! Discussion ina umuhimu sana kwa ufaulu wa chuo!

Nashauri iwe walau 60 kwa 40%!
Discussion inategemea na jinsi mtu alivyo kaka, mfano mm sipendi discussion naona kama napoteza muda, bora nikachimbe madude mwenyew tuu kiumeni
 
Discussion inategemea na jinsi mtu alivyo kaka, mfano mm sipendi discussion naona kama napoteza muda, bora nikachimbe madude mwenyew tuu kiumeni
kama mimi tu, ikitokea nimejadiliana na watu basi nahitaji msaada kuna kitu sikuelewa. Na hii inakuwa siyo discussion.
 
kama ulikuwa unamsikiliza lecturer vizuri na kumuelewa, notes unasoma unazielewa shida ilikua nini mkuu? Naweza nikasema kuna vitu ulikuwa huvielewi wakati wakujisomea na wewe ukawa hutafuti mtu akueleweshe. Na hii kumtafuta mtu akueleweshe tukumbuke siyo discussion.
Mimi nadhani inategemea na mtu, kuna wanao soma kwa discussion na wengine kama wewe hamuwezi. Kwangu mimi discusion pamoja na kujisomea alone ndio njia bora ya kusoma! Mwisho wa siku cha muhimu ni kumaliza chuo!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
mimi pia niko chuo discussion ndo inasaidia sana.
Ila kila raia na mbinu zake za usomaji.

Bwasheee uko chuo gani?
 
Back
Top Bottom