kweli mkuu, ili nimeprove kabisa, kuna siku moja nilienda kwenye discussion tukaanza kupitia past paper(simbi) maswali mengi wadau wakawa wanafunua notes kutafuta majibu. Basi toka siku hiyo niliwashauri kabla ya kuja kudiscuss basi ni muhimu kusoma kwanza. Na sikurudi tena kwenye discussion.
Kuna muda wadau wanatoka kwenye paper nawasikia wakijadiliana; halafu swali Fulani tulidiscuss Jana asee sema sikulitilia maanani dah! Nimejibu jibu hivyo hivyo naweza kupata hata marks kadhaa. Wakati huo mm kwenye discussion sikuwepo na nimelijibu swali lote ki ufasaha sana coz nilisoma vizuri kwenye notes. Na pia wataalamu walishafanya utafiti wakagundua kuwa mwanafunzi anayetumia masaa mengi kujisomea mwenyewe ndiye anayefaulu zaidi.