Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

i also doubt your education whether its fake or real what will it help you? and being very bright in class does not mean you have all the success the little that you think Dr. Slaa is having is extremely useful and have opened our eyes in detail so you can go to hell with your stories.

can you please bring more useful things here since your educated?
 
mimi sio mtaalam wa taarabu kama wewe, naomba ujibu hoja na sio kuongea kama bata.

I am not a follower like most of you CDM. To state the obvious, this is in many ways a profoundly CDM sentiment.
 
The Mheshimiwa mbunge should have heeded the adage: those in glass houses do not throw stones. He has put the limelight back on to himself.
 
hizi habari ni kweli?, unamaanisha slaa amechakachua vyeti?. Unaweza kutupa na mambo ya mana aliyoyafanya Tz tangu hiyo 1948 alipozaliwa?
 
Ujinga mtupu...Midanganyika bwana yaani hamuachi UDINI kwa kuandika Upupu kama huu? mnatia kinyaa na aibu kubwa hata kwa jinsi mlivyoelimika.

Tunakuomba uoneshe ujinga ulioandikwa hapo, halafu wewe weka ujanja wako. Udini tunajuwa maana yake ni nini.
 

Why lie?
 
Dah,slaa ni kiboko majigambo yoooote kumbe ni sifuri?
 
Ni phd ya ukweli sababu amekaa darasani, haja foji ndugu.phd yake ina heshimika dunia nzima kama huamini baki na kukariri kwako mifumo ya elimu.

mhh...?waukweli yahe si nkoi?
 
basi tusiseme dokta wa ukweli kama ni kichefuchefu, iwe dokta tu!
 
Madrasa = Madarasa. Sisi huenda chuoni kuanzia vichekechea, Jee wenzetu, lini huanza chuo?

"Wala (mimi Muhammad) sijui nitakavyo fanywa (na Yesu Kristo atavyokuja kuhukumu wazima na wafu maana nilifanya maovu mengi sana) wala nyinyi (wafuasi wangu). Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe." (Qur'an 46:9, Gal. 6:5).
 
Naona mitaira ndo inampiga dr Slaa,inamliganisha na kihiyo dokuta jk. Kumbe kusoma muhimu naoma mijitu unshuled ikiongozwa na mbunge kihiyo kigwa ndo inadhani imepata nafasi. Imekula kwenu,endelea kujadili watu kama mko kwenye chama cha wanawake jikoni.
 
hivi jf haina admin?? Nashangaa hii forum manake post inahusu elimu ya dokta slaa but watu wana attack dini is that fair?? Usidharau dini ya mwenzako kwa kudhani yako ni bora.
 


Tafadhali naomba utupe CV yako kabla ya mengine pia post Doctorate ya JK kama unayo halafu tulingangishe na ya Slaa tutajua nani anastahili...




HATA KWA KUONGEA TU MTU ATAJULIKANA UNAZO AMA MBUMBUMBU.......
 
CV ya Slaa hata akiomba kazi hapati, labda kanisani. Kurukia kwenye siasa za ufataan "wajinga ndio waliwao" ndio size yake? wapi zaidi ya huko? ccm walisha mpiga chini, akaona hii sasa kimbembe, wapi wanadanganyika haraka?
 
Mimi namkubali Slaa kwa mambo anayo fanya mfano. Kuibua mafisadi,utendaji wa kazi kama alipokuwa mbunge,utetezi wa wanyonge na kudai haki kwa watz wa kawaida. Mimi simkubali kwa phd yake. Na nadhani watz wanakubali kwa sababu kama hizo mambo ya phd naona ni minor case labda ulete hoja yenye nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…