Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Tunajua mmetumwa,mnapambana na wanaosimamia haki hamtashinda ndugu.hamuwezi kumchafua Dr slaa mmeshazunguka sana mmeshindwa.Dr slaa phd yake anaitumia kwa raia na wanamuelewa,hizo zenu za kununuliwa hadi familia nzima zinasaidia nini? Dr slaa Phd ya ukweli hutaki hata mawe yatasema!

What kind of PHD is that? Bogus one. I don't need a bogus leader.
 
What kind of PHD is that? Bogus one. I don't need a bogus leader.

Kuna kitu kimoja labda ningeomba unielimishe, ninavyofahamu mimi Profesa ni zaidi ya Phd holder, na Chadema wapo akina Profesa Baregu Profesa Safari, sasa kwa nini kilaza Wibroad Slaa ndio anawanyima usingizi? ukinijibu hili utakuwa umenisaidia mno.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
As long as you are still in the same CDM box, you will never comprehend the fidelity. So, perdure to follow your leaders who are mendacious liars.

Ask ur father if he has never lied to ur mother, u might stop calling chadema liars
 
Mgoyangi,

Samahani sana. Huyo Kigwangala anatakiwa kufikiria namna ya kutoka katika sanduku la fikra zake kuhusu mifumo ya elimu. Nani aliyemwambia kwamba mifumo aliyokariri yeye ndiyo standard dunia nzima? Nani alimwambia kwamba mifumo hiyo iko nje ya change phenomena? Nani kwanza kamwambia kwamba Dr Slaa anakubalika ajili ya elimu yake? Hizo competition za Doctorates anazotaka kuibuka nazo zinahusika vipi katika suala la kiongozi wa nchi?Sijaona kitu katika hiyo analysis yake zaidi ya inferiority complex, malice na jelous.

Dr Slaa for Tanzania!.
 
Nilitegemea aliyeleta hoja angetuambia kuwa ametafiti kama hivyo vyuo alivyosoma Dr wa ukweli akakikosa, au akagundua kuwa hakuna graduate kama huyo (Dr Slaa) kwenye hivyo vyuo; au hicho chuo hakitambuliki. Sasa anakuja kwa kutaka eti Dr Slaa atueleze, sasa hata kama atakueleza utaamini wakati hizi ulizopresent ndo yeye kawasilisha? Kama hujui exploration kamconsult Msemakweli jinsi ya kutafiti waliosoma vyuo feki, atakusaidia japo methodology, ili uje na tuhuma zilizojitosheleza. La sivyo hizi itakuwa ni zile mlizozoea siasa za majitaka.

Any way majina ya viwango kama vya elimu kama vile: Bsc (BA) au Msc (MA), siyo uniform saana duniani kote. Na hii haimanishi kuwa hizi nchi ndo wana elimu za chini. Kwa mfano, Ujerumani mpaka recently hawakuwa na Msc wala MA. Walikuwa na Diploma (wenyewe wanaita Diplom) na hii inaheshimika zaidi ya Masters. Baada ya hapa mhitimu hujiunga na PhD moja kwa moja. PhD za ujerumani huwa zina classification kama vile summa cum laude, magna cum laude, and cum laude. Suma cum laude ni kwa wale wanaopata disticntions (yaani ufaulu wa juu sana), wakifatiwa na magna cum laude, na mwisho cum laude. Kwa maelezo uliyotoa hapo juaú, ina maana Dr Slaa alipata first class katika PhD yake. Kwa maana hiyo yeye ni kichwa.

Ukiacha hilo suala la muda wa kusoma sio issue, maana qualification za mtu inategemea units alizocover, na mara nyingi kwa nchi za wenzetu huwa inategemea pia na bidii ya mtu kukamilisha Units anazotakiwa kwa qualification. Unashangaa hilo mbona wanafunzi huku huwa wanaweza kusoma huku wakifanya kazi na bado wanamaliza muda ule ule wakati kwa mazingira yetu ya Bongo kitu kama hicho ni ndoto na ukicheza wanaweza kula kichwa?

Lakini pia, elimu kwako ni nini? Je ni vyeti? Nyinyi ndo mnasababisha watu kila siku wanaforge mitihani bila ya kuelimika kisa wanataka vyeti (Oh ana masters, ana MBA, MPH, Phd nk) lakini ukiangalia quality yake ni chini almost to zero. Any way Kigwangala, watanzania hatuhitaji hivyo, tunahitaji ni mtu kudeliver. Tutawapima kwa matendo yao. Hakuna asiyejua deliverance ya Dr Slaa, si tu alipokuwa jimboni kwake Karatu, Bungeni, na kamati alizoongoza, lakini hata kwenye chama chake. Jamaa ni kichwa. Na ukitaka kuamini mwulize JK, siku hizi amekuwa ni mtekelezaji tu (copy and paste) wa yale jamaa aliyopropose through CHADEMA.
 
sasa wewe kigwangwala unachekesha mimi ni msomi na nina amini hata raisi wako unaemtambua wakati anateu mawaziri wake alisema uongozi hausomewi uanjua unazidi kujidharaulisha.

For your informatiom IQ ya Dr slaa ni kubwa kuliko IQ ya viongozi na wanachama wote wa wa CCM tangu ianza labda marehemu sokoine pekee ndo wakufanana naye kwa werevu

usirudie tena kuhoji elimu ya mtu katika maswala ya uongozi as long as sifa za kiongozi bora ni
Uadilifu,
Ufuatiliaji wa maswala ya maendeleo,
msimamo katiaka maswala ya maendeleo kwa ujumla

Please stop nonsense nenda ukamweleze haya mke wako ndo mtaelewana na haya mambo peleka facebook
 
For your informatiom IQ ya Dr slaa ni kubwa kuliko IQ ya viongozi na wanachama wote wa wa CCM tangu ianza labda marehemu sokoine pekee ndo wakufanana naye kwa werevu

....Naamini unaweza kufikiri kwa makini zaidi kuliko hivi, jitahidi muda wote kuutendea haki ubongo wako na kamwe usiruhusu mapenzi ya kisiasa yakupumbaze akili....

Nilikuwa napita tu.
 
To the dedicated and true members of JF, let this thread slip by - ipotezee.
Kigwangala kaogopa kuileta mwenyewe hoja yake hapa, kaweka huko ambako alifikiri wana JF hawafiki (kakosea)!
Nina hasira na huyu kijana, naona mwalimu wake wa madrassa hakumchapa vizuri 'bakora' panapofaa!

Ni kweli kabisa. Kapeleka kule wanabidii na wengi tunajuwa wanabidii imevamiwa na vibaraka na hata wao moderator kageuka dectactor wa viwango vya kutisha!. Najua huyu Kingwangalla ni member humu, sasa ajitokeze kutetea huu upuuzi wake kuhusu elimu ya Dr. Slaa. Na akimaliza hapo atuletee details za Phd ya wenziwe, Lyatonga Mrema, Dr wa magogoni, Nchimbi. aseme ni Dr wa nini?
 
Dr acha siasa za majitaka usijichafulie jina chapa kazi acha kusengenya watu.
 
Guys lets forget these Phd's stuffs and think like wise people,haya tufanye Slaa ana cheti cha diploma ya ualimu tu kutoka chuo cha ualimu Mpuguso-Tukuyu then wabunge wote na viongozi wa CCM ni Maprof na maPhds holder tukiamua kuwapa assigment moja hasa kuhusu mustakabari wa nchi yetu na wananchi wake nani kati ya Slaa mwenye Dip. Ya ualimu na hao maProf wa CCM atakayeleta suruhisho na mkakatiti bora wa kumaliza kero za wananchi na kuleta maendeleo ya ukweli yanayoonekana na si maendeleo ya kwenye makaratasi ya kuombea misaada kwa donors?
 
Guys lets forget these Phd's stuffs and think like wise people,haya tufanye Slaa ana cheti cha diploma ya ualimu tu kutoka chuo cha ualimu Mpuguso-Tukuyu then wabunge wote na viongozi wa CCM ni Maprof na maPhds holder tukiamua kuwapa assigment moja hasa kuhusu mustakabari wa nchi yetu na wananchi wake nani kati ya Slaa mwenye Dip. Ya ualimu na hao maProf wa CCM atakayeleta suruhisho na mkakatiti bora wa kumaliza kero za wananchi na kuleta maendeleo ya ukweli yanayoonekana na si maendeleo ya kwenye makaratasi ya kuombea misaada kwa donors?
Hapo mkuu utakuwa umekosea,alikuwa ni mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya.....cha asjabu kipi alikifanya,au uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa....kipi cha ajabu alichokjifanya?.....Acheni kutukuza watu,hivi vyote visemwavyo si vigeni all you need is access to classified documents,once you have that,expose them and get popular!!
 
Hamis, wewe bado mpumbavu. Labda nikwambie dr slaa ameishia darasa la pili. Lakini tutamchagua na kushinda 2015. Lione, shame on you, ndio umeona dr slaa ni gia ya kujitafitia ujiko kwa hao hawala zako waliokusaidia kupata ubunge. Acha upumbavu wewe.
 
Namheshimu sana huyu kijana kigwala "si kila aliyesoma ana akili ya kujitawala!!! Wewe mwizi wa jina hukustahi kukanyaga mahali patakatifu pale bungeni!! Hivi hujionei haya? Mbona kama vile unaakili? Mimi,wewe na wale tunaamini bila wivu kuwa Dr W.P Slaa ni dr genuine sio wa kichina kama kikwete!!!
UDAKTARI wa JK ni sawa na wa dokta MANYAUNYAU
 
Kuna kitu kimoja labda ningeomba unielimishe, ninavyofahamu mimi Profesa ni zaidi ya Phd holder, na Chadema wapo akina Profesa Baregu Profesa Safari, sasa kwa nini kilaza Wibroad Slaa ndio anawanyima usingizi? ukinijibu hili utakuwa umenisaidia mno.

He is not. DR. SLAA is just a biggest loser who lost in the last election. What a waste of time!
 
Nonsense! How abt ur superdupa Bogus with a gentlemen Degree sitting magogoni just meeting mabalozi with zawadi

We all know who the biggest loser is, it's just up to the parties to spin it.
 
Nimechelea kukutukana kwa kuwa wewe ni Mheshimiwa.
Tambua kwamba watu hawahitaji hizo PHDs, Masters na Bachelor zenu. Wao wanahitaji Maendeleo.
Halafu bila aibu unasema JK ni mwanadiplomasia?!!!!!!!!!!!! Angalia hii milinganisho ya diplomasia ya JK wako:-
1. Wenzake wanasafiri nje ya nchi zao kutafuta soko la bidhaa zinazozalishwa na raia wake - yeye anasafiri nje ya nchi kuwatangazia Marais wenzake kuwa raia wake hawana wa kulipa kodi inayohitajika kwa mishahara hivyo wamsaidie at the same time anawaambia njooni muwekeze kwani kuna amani alhali alishawaambia kuwa raia wake hawana uwezo wa kununua!!! JE, HIYO NDIYO DIPLOMASIA?
2. Hivi kwenye huo udaktari wa Kugwangala ameshakula rushwa ngapi?
3. Nyerere aliposema CCM inanuka kwa rushwa kwanini hukusema Ubaba wake wa taifa umekwisha? au kwa kuwa hayo yansemwa leo na Dr. Slaa kwa kurudia rudia ndiyo sababu wayaona low and incompetence? HUJUI KUWA YALIANZISHWA NA HYO MNAYEMWITA BABA WA TAIFA NA MWANZILISHI WA HIYO CCM YAKO? NA KWAMBA SLAA ANAYAENDELEZA TU?
 
Back
Top Bottom