Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:
Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:
Watakucheka watu. Elimu itolewayo na kanisa katoliki inaheshimika duniani kote. Tazama shule zao tz. Mwulize mh. JK. Ukweli haubatilishwi na uongo.Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:
This is why I said yesterday that CHADEMA IS BELOW PAR. Look what we have from Slaa!! What about Freeman? Same sht.
Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:
Tujiulize swali ni nini chanzo cha elimu? ni kweli wasio na degree hawana akili? hawawezi kuongoza? hii notion sio kweli kabisa! wasomi wa nchi hii wameifanyia nini tanzania zaidi ya kuinua mabega na kujitapa na kuwa wezi! ni nini cha maana wamefanya? hadi leo barabara zetu zinajengwa na watu toka nje, embu niambie nyie mnaojiita wasomi mliokosa uzalendo mmelifanyia nini taifa hili zaidi ya kuwasaliti maskini waliowasomesha kwa kodi zao! Uzalendo haumo mioyoni mwenu, wala rushwa wakubwa! Embu nenda kwenye library za nchini kwetu niambieni ni vitabu vingapi vimeandikwa na watanzania? wanaojiita wasomi? enyi receptive mind msiofikiria! tunahitaji kiongozi mwenye busara na mwenye uwezo mkubwa wa kutafakari, wasomi ni watu wa kutumiwa tuuu, ni lazima wawe chini mwenye kutafakari.
UKILETA VIGEZO HIVYO UTATAKA KUNIAMBIA MAPROFESA NDIO VIONGOZI WAZURI! NAQ HIYO SIO KWELI ENHE KIGWANGALA ULIEANZISHA MGOMO MUHIMBILI!
Hivi usomi maana yake nini? Naona tunachanganya mambo.certificates zoote,diploma zoote na phd bado tunahoji usomi wa mtu? Au mpaka tuone neno degree ndio turidhike.usomi wa kweli ni kupita vyuo halali,je Dr slaa kafoji? Hivi mnajua shughuli ya phd ya canon law au mnaongea tu! Usomi ni pamoja na content ya vitu ulivyosoma fatilieni phd za canon law alafu mlinganishe na phd za kawaida.alafu acheni kukariri mifumo ya elimu kuna vyuo vina asses content ya vyeti vyako kupitisha kusoma elimu ya juu zaidi na sio neno degree kwenye certificates! Mfano kuna degree za uhasibu za miaka 3 vyuo vya nje na halali lakini content zake ni diploma ya CBE! Tujadili ya msingi kama Dr slaa amefoji vyeti uwekwe ushahidi lakini si ku compromise usomi wake.kuna wasomi wazuri tu na wana deliver vizuri tu maofisini wakiwa na masters bila undergraduate degree! Usomi si mpangilio wa formal academic wakuu.hizi siasa tunazipeleka kusiko leteni mjadala wa maendeleo mnayotuletea wananchi nyinyi kama chama tawala na si longo longo.huyo Kigwangala ambae ni Dr na zitto mwenye masters nani zaidi kihoja? Upupu mtupu!Mike Tyson pia ana PhD....so?
Mjadala huu hauna faida hata kidogo . Ujinga mwingi uko kule CCM wanaodhani kwamba kuwa na title kama Prof , Dr nk inamsaidia kuwadanya wananchi na kupewa Ubunge . Huu ni upumbavu kujadili elimu ya Slaa .Huyu mtu kama ni mwana CCM yeye aje atueleze inako elekea maana kuna hali ya hatari hadi polisi sasa wanaua hadharani . Slaa ana PhD ambayo haina ubishi na hana haja ya kuja kupoteza muda wake hapa badala ya kujenga Chama .