Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

I like this:
Kingwangalla is a classic example of everything wrong in our governance system hapa Tanzania. Inakuwaje No 3 ndio atangazwe mshindi!
Hapo mkuu, umemaliza kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kuanzia 1971 mpaka 1981 ni masomo ya miaka 10 baada ya form six ambayo ni mengi kuliko miaka 8 ambayo watu wengi wanasoma. PHD miaka mitatu ni ya darasa na 1 wa research hivyo kama umeshachukua madarasa sehemu nyingine unaweza kufanya research yako kwa miaka miwili!!
 
Tanzania kwa sasa inataka viongozi wenye uwezo na ujasiri wa kukemea maovu hadharani, hata kama ana cheti cha ubatizo tu, angalia shule zinazoongoza kwa matokeo mazuri hapa tz halafu uje na post nyingine.
 
Kigwangwala,ukiona kupitia kanuni za dhehebu la katoliki mtu anaitwa hata padri tu,iheshimu elimu yake,sasa kama unaona hata kanisa lenyewe linamkubali kwa vigezo vyao wanampa PhD huna budi ukakubaliana na hilo

R.C ni taasisi iliyo imara zaidi ya mfumo wa serikali zetu,si kwa elimu tu bali kwenye kila sekta,watu wanasoma kweli na pale kughushi vyeti ni muujiza,mbona italy vyuo vingine havina degree badala yake wana Ad.dipl ambayo ni sawa na degree ya bongo?ama hapa napo uendelee kudai msamiati wa degree?elewa hizi ni modalities tu but the contents remain the same

Mnapenda kweli kuitwa waheshimiwa kumbe wewe ni mbovu hivi!
 
Inaonekana kabisa mwandikaji ni mshamba wa elimu elimu inaenda kwa credit Hours na kama hujui hii ni nini basi usirukie mambo.

Cha kujiuliza ni miaka mingapi Dr Slaa kasoma baada ya kidato cha sita? kwani ukifanya hivyo ndiyo utaelewa maana kila Darasa unalochukua ni credit Hrs na kuchukua Degree za juu inaelekea elimu yako ya kabla ni kubwa kiasi gani. Mfano mimi nilivyokuja kusoma Marekani nilipewa Credit Hrs 29 za History, Economics na Geology kwasababu nilichukua HGE A-Level. Hivyo kwenye Degree program yangu ya Credi Hrs 134 nilipewa 29 Hrs kabla hata ya kuanza chuo!. Dr Slaa alikuwa na Credit Hrs nyingi wakati anasoma kwenye Vyuo vya Theology hivyo alikuwa kashachukua masaa mengi yanayohitajika kwa PHD. Kwenye PHD za miaka minne miaka mitatu ni ya Darasani na unachukua madarasa na mwaka mmoja ni wa Research ambayo kwa watu wengine wanashidwa research na wanachukua madarasa tu. Hivyo Dr slaa alikuwa tayari na madarasa mengi hivyo hakuwa ha haja ya kusoma miaka mitatu hivyo kasoma kidogo na kufanya Research ya PHD. Lakini ukiangalia miaka mingapi katumia kusoma kuanzia Form 6 ni sawa na bongo tu. Bongo (3-Chuo, 1- Master na 4 PHD) Dr Slaa katumia miaka zaidi ya 8 iliyopo hapa.
Sikubaliani na hizi kamba,PhD ya cannon law ni miaka miwili,na siyo traditional doctorate as many people think arround here!!...na kuhusu heshima ya vyuo vya kikatoliki,hiyo inategemea.....ni vyuo ambavyo vimestick to medieval era system na kwa mfano Gregory Mendel hana doctorate ila mwanasayansi asiyemjua ni mbumbumbu,however tusisahau kuwa ni catholic church ambao walitaka kumuua Galileo kwa kusema dunia ni duara......so you be the judge.
MY VIEW
Hana Phd
 
Niliwahi kuleta thread ikihoji elimu ya Slaa, wanamgambo wakaitia kapuni! Tatizo ni jinsi nyinyi wanamgambo mnavyoipaisha hiyo elimu ya Slaa, wakati kimsingi ina kasoro nyingi na magumashi kibao! Kama mngeichukulia kawaida hakuna mtu ange-scrutinize, ila label mnazompa Slaa ndizo zinawaponza! Dr Ph D wa ukweli...............wapi!
Ni phd ya ukweli sababu amekaa darasani, haja foji ndugu.phd yake ina heshimika dunia nzima kama huamini baki na kukariri kwako mifumo ya elimu.
 
Unajua wenye elimu za kubahatisha za kuchanganya na madrasa za kina kingwagala ni problem, hivi wakisema kundi la wasomi wajitokeze kingwangala na wewe umo ? mie nashindwa kuelewa unaandika pumba ninamashaka na upeo wako wa kuchambua mambo bure
 
The facts are vivid clear that CDM together with their leaders who are filibusters have nothing impeccable to offer at the table to the public, inter-alia, they are just mindless obstructionists who are trying to limit JK and CCM.
 
Sikubaliani na hizi kamba,PhD ya cannon law ni miaka miwili,na siyo traditional doctorate as many people think arround here!!...na kuhusu heshima ya vyuo vya kikatoliki,hiyo inategemea.....ni vyuo ambavyo vimestick to medieval era system na kwa mfano Gregory Mendel hana doctorate ila mwanasayansi asiyemjua ni mbumbumbu,however tusisahau kuwa ni catholic church ambao walitaka kumuua Galileo kwa kusema dunia ni duara......so you be the judge.
MY VIEW
Hana Phd
Naheshimu maoni yako ila ile Phd kamili na linganifu na nyingine zote wala hilo si la hata kubabaisha mkuu.
 
Wasomi bila hekima sio kitu. Watanzania wanachohitaji ni kiongozi mwenye maono, si vyeti.
Kama elimu rasmi ndiyo hekima, basi wasio soma hawawezi hata kuongoza miji yao. Je hivi ndivyo hali ilivyo?
Elimu kama ya kigwangala ni mzigo.
 
Mimi bado sijamuelewa K.Tuseme kukaa kote tz hajui Rais wa Tanzania anatakiwa awe na sifa gani?
Siku hizi watz wanaona mbali,kuchagua mtu hawaangalii vyeti bali uwezo wa kuwaongoza.kama ni vyeti hata k/koo vipo.msema kweli alipowaumbua mbona muliishia kuguna?wangekuwa watz wana angalia kisomo cha mtu unafikili yule jah people angeshinda au wewe kigwangala ungeshinda?hatuichukii ccm eti kwa sababu haina wasomi lahasha,tunaichukia ccm kwa sababu imekosa watu wenye uwezo na fikra za kuleta maendeleo.
 
Wasifu wa USTAADHI WILBROAD SLAA huu hapa

View attachment 30745

Mim sitoi sana Wasifu wa Dr.SLAA,ila nataka kutoka maelezo kuhusu elimu inayotolewa na kanisa katoliki,DR.HAMISI,anaonekana hapa amecomitt fallacy of ignorant,maana hajui anachokisema,elimu inayotolewa na kanisa katoliki ni elimu bora,DR.SLAA amesoma falsafa,ndani ya falsafa kuna matawi mengi,kuna science,saikoloj,politics,dini,languages,etc,amesoma theology na canon law pamoja na civil laws,na hapo ndio akaitwa Dr,sasa mheshimiwa Phd kirefu chake ni kipi?
 
u always vomit shit, go to hell.

As long as you are still in the same CDM box, you will never comprehend the fidelity. So, perdure to follow your leaders who are mendacious liars.
 
The facts are vivid clear that CDM together with their leaders who are filibusters have nothing impeccable to offer at the table to the public, inter-alia, they are just mindless obstructionists who are trying to limit JK and CCM.
Tunajua mmetumwa,mnapambana na wanaosimamia haki hamtashinda ndugu.hamuwezi kumchafua Dr slaa mmeshazunguka sana mmeshindwa.Dr slaa phd yake anaitumia kwa raia na wanamuelewa,hizo zenu za kununuliwa hadi familia nzima zinasaidia nini? Dr slaa Phd ya ukweli hutaki hata mawe yatasema!
 
Kigwangalla sijui hata kama nimetaja jina lake uzuri ni mfano wa upuuzi wa uongozi wa nchi. Kwanza alitumia rushwa sana kwenye mchakato wa kura za maoni. Kama mie mwongo aje akanushe. Bado akaambulia namba tatu. Zikatumika fitna ili apewe yeye. Bashe alifitiniwa na Rizmoja na huyo Kigwa kwa baba yao.. Hao wote ni vilaza tu ndo maana kila siku wanatafuta namna ya kumchokonoa Dr wa ukweli. Kigwa huna jipya maana kuanzia jina unalotumia ni feki ulichakachua darasa la saba (kama unabisha sema tuweke ushahidi hapa) hata ubunge wako umechakachua tu (kama unabisha sema tuseme hapa) huoni hata haya we kijana lakini unakumbatia majungu kama nini...lakini sikushangai maana hata chama chako ni cha kipuuzi
 
To the dedicated and true members of JF, let this thread slip by - ipotezee.
Kigwangala kaogopa kuileta mwenyewe hoja yake hapa, kaweka huko ambako alifikiri wana JF hawafiki (kakosea)!
Nina hasira na huyu kijana, naona mwalimu wake wa madrassa hakumchapa vizuri 'bakora' panapofaa!
 
We limbukeni mkubwa nenda madrasa kasome,hujui kuwa hata masters siku hizi unasoma kwa mwaka mmoja na ulaya hiyo system ipo siku nyingi na PHD ni research ambao ukiwa na upo smart within 2 years unamaliza.
 
Back
Top Bottom