Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

Aah,, sasa unaharibu, unaharibu bana... [emoji26][emoji26]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ok, uko sahihi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hatuna astute lawyers bali tuna watu wenye kujaza makaratasi ya uanasheria tupu bila kujua kutafsiri katiba na sheria na wenye kuona na kukbali kuona katiba inachezewa na sheria zikifanyiwa asusa. RIP Mchungali Christopher Mkitila najua angeshalisongesha front kuanzia kwa Ndungai hadi na hii ya Tulia
 
Baada tuu ya Spika kujiuzulu, automaticaly Naibu Spika anakuwa kaimu Spika, hivyo kifungu hicho kina mhusu
p

Pasi ngoja nitulie kuna kitu nitaongezea katika ule mjadala wako wa Job kujihudhuru na mambo ya kukiuka utaratibu na sheria ila pia naona Mzee Pius Msekwa keshalitolea ufafanuzi katika maandiko yake huko Daily news, wewe ni msomaji mzuri na habari ni tasnia yako nina imani utaisapua uongeze maarifa
 
Kinachowafanya watu wamshangae Tulia anavyoleta ukanyagaji wa Katiba ni kwa kuwa jina lake litakapopita kwenye Chama ndio anakuwa mgombea uSpika. Hakunaga muda tena wa kuchukua fomu kwa kuwa uspika unagombewa kwa chama cha siasa kuwasilisha bungeni jina la mgombea wao - kama mgombea ni mbunge (kwa njia ya barua tu) na kama mgombea sio mbunge basi chama kinawasilisha jina hilo katika Tume ya uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ndio inawasilisha bungeni jina la mgombea, hakuna fomu za kujaza . Sasa huyo Tulia anatakiwa kujiuzulu sasa ili apate sifa za kugombea na pia anapewa elimu hii mapema ili ajifunze, maana kwa uelewa wake anaona kuwa hajakosa sifa. Kuna video yake hapo anasema Naibu Spika hajazuiliwa kugombea, yeye hawazi hizo habari za mchakato wa Chama, anaona kuwa ana sifa kwa kuwa cheo cha Naibu spika hakijatajwa kwenye ibara ya 84(2) ya Katiba ya JMT. Mfundisheni
 
Kulinda katiba ni jukumu la kila mwananchi bila ya kujali elimu au cheo chake. Ni wajibu wako kuzuia uvunjwaji wa Katiba
 
Afadhali kuna kitu kama hiki..japo hakupenda kabisa kijulikane kwa wengine
Amekomaa na ibara ya Katiba tu wakati Katiba imeelekeza kusoma sheria nyingine. Aseme anagombea kibabe lakini asitudanganye kuwa ana sifa za kugombea kisheria.
 
Tulia anagombea ndani ya Chama, ambao watapeleka jina moja bungeni. Tulia hajagombea akiwa bungeni, ila akiwa ndani ya Chama.
 
Nakubaliana na hoja Yako. Bado hajagombea bungeni.
 
Watu wanataka mtu mpya. Sio damu ya zamani ya kunguni.

Tulia alikuwa creation ya Jiwe ili amtumie kumuongezea muda wa kutawala baada ya huhula wake hapo ungemallizika ; na pia alishiriki kuvunja katiba kuwaruhusu wale covi19 kuingia bungeni!! Hafai, anahitajika Spika anaejiamini na hawezi kuyumbishwa!
 
Bunge bado halijatoa fomu za kugombea uspika..Dk Tulia anagombea ndani ya chama chake,itakapofika CCM wamempitisha na Bunge kuanza kutoa fomu hiyo sheria itamhusu.
 
Huko bungeni huwa wanapeleka majina mangapi
 
Bunge bado halijatoa fomu za kugombea uspika..Dk Tulia anagombea ndani ya chama chake,itakapofika CCM wamempitisha na Bunge kuanza kutoa fomu hiyo sheria itamhusu.
Ndugu, Bunge hawatoi fomu za mtu kugombea uspika. Bunge linasubiri tu kupokea jina kutoka vyama vya Siasa (ikiwa wagombea ni wabunge) au kutoka Tume ya uchaguzi ikiwa wagombea watakuwa sio wabunge. Ukipata nomination ya chama imetoka, chama ndio kinapeleka jina lako bungeni
 
Kwa hiyo CCM itakaa na kujadili ili kumpitisha mtu asiyekuwa na sifa za msingi za kugombea kuwa Spika ili akishapitishwa ndio aende kuwa na sifa?

Kwa hiyo Tulia ameingi mkataba binafsi na CCM kuwa akipitishwa kugombea uspika ndio ataachia kiti cha unaibu spika?

Kwa hiyo CCM inafanya shughuli zake kama bahati nasibu au betting?

Kama CCM watafanya hivyo hicho kitakuwa ni chama cha ajabu ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…