Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

Kama Tulia anaamini kuwa kwa sasa anafaa kuwa Spika, kwanini asijiuzuru nafasi ya unaibu spika ili awe na sifa za msingi kuweza kujadilika na chama chake kugombea uspika?
 
Ikiwa wanakanyaga katuba ya nchi wawapo bungeni ni rahisi kuendelea kukanyaga sifa za wagombea.
Mfano.
Mimi nilifukuzwa na chama.
NS ofisi ya Spika haina taarifa.
Spika,niliandikiwa kipeperushi kutoka kwa Mnyika.Spika,namshauri Mnyika akajifunze kwa Bashiru.
Ndugai ameshindwa kujifunza kwa Bashiru akiwa na hoja asilropokee vichochoroni.
 
Kwamba kikatiba... Tulia akson yupo sahihi.. kwa mtazamo wa kishabik kisiasa...
 
Anataka viti vyote 2
 
Sheria ni tafsiri na si lazima tafsiri yako iwe sahihi. Na walioitunga hawakuwa na maana ya tafsiri yako.
 
Kinachomvuta ni maslai ya uspeaker baada ya kustaafu.
Wakina chenge kodi zetu walizopiga still awavimbiwi tu wanataka tena uspeaker
 
Ni lazima ujue kisheria neno 'absence' na "resignation" ni vitu viwili tofauti. Ndiyo maana Shughuli zote za Bunge zimesimama kwa sababu Speaker ame resig siyo kwa sababu Speaker is absent.

Siku zote absence ya Speaker kwa sababu yeyote ile ilikuwa haizuii shughuli za Bunge kuendelea chini ya Deputy Speaker au Wenyeviti wa Bunge.
Hivyo kwa sasa Naibu Speaker siyo Kaimu Speaker kwa mujibu wa sheria hii. Kawaida akiwepo Kaimu shughuli zitaendelea kama kawaida, lakini kwa sasa shughuli za Bunge zimesimama kwa sababu hakuna Speaker na hakuna Kaimu kwa kuwa Speaker has resigned na siyo kuwa Speaker is absent.
 
Bongo kila kitu kinawezekana bwashee
 
Ujumbe wenye tafsiri yakiwango cha juu sana.endelea kutuchambulia.watu wapo kishabiki tu kwa uchawa wa ukada.
 
Inawezekana umeajadili mada pasipo kusoma attachment iliyowekwa na mada. Imesema kabisa kuwa absent ni pamoja na vacancy ya hicho kiti, isome vyema hiyo sheria.
Hizo habari za shughuli za Bunge kusimama kwa kuwa Spika amejiuzulu sijui hata ni kwa mujibu wa sheria gani.

Halafu hakunaga kaimu Spika ikiwa Spika yupo kwa maana hiyo ya absence uliyoisema. Kunakuwaga na Naibu Spika. Kaimu Spika ni pale tu kiti cha Spika kinapokua wazi (kama sasa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…