Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #21
Haipendez japo kunawakat tunazidiwa na hasira nakumbuka mtaani kwetu enzi hizo kunamtu aliwahi mtolea maneno machafu jirani aliyekuwa anaugua Kwa muda mrefu kidogo baada ya kukwazana alidhoofika sana kama ujuavyo kwenye ugomvi hauchagui solaha aliktukana na kumtokea kauli chafu juu ya haliyake.Sidhani kama wewe unaweza kumtolea mtu maneno machafu au kumtusi.
Hii ni tabia ina watu wake.
Baada ya muda mambo yakageuka alietukanwa akapona mtukanaji baada ya muda aliujua alivopima alakutwa na HIV pamoja na Figo moja kufeli kabisa wakat huo alikuwa mjamzito akajifungua Kwa opresheni kikonda kile kilimtesa mno