Jamaa mmoja alikuwa anawahi kwenye usaili alioitwa kwa ajili ya kazi aliyoomba. Akiwa katika harakati na purukushani za usafiri wa daladala, kwa bahati mbaya mama mmoja wa makamo alimkanyaga kidogo kwenye kiatu chake kilichong'arishwa vizuri, ili aonekane 'smart' na kumuongezea...