Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

Mm nilirudisha mil 8 tena ilinipigia na kuniomba mwenyewe nilichofanya niliituma mwenyewe.

There's blessing kuwa MTU mwema I never regret
Hiyo milioni nane huenda aliipata kwa kutuibia TOZO ZETU na KUTUTAPELI maofisini na kwenye biashara zake. Hata ungeichukua ni sawa tu.

Nimekuja kugundua WEMA HAULIPI, hata uwe mwema kiasi gani, huwezi kupewa TUZO. Utaishia kulamba michanga.

Everybody fights for his own survival. It is a "eat or get eaten" sort of a world. Usipokula utaliwa tu, utake usitake.

Utake utaliwa, usitake utaliwa. Unapigwa katafunua mpaka unaomba poo.

Ukitaka kufanikiwa lazima uwe na roho mbaya kama ya FISI MAJI, totally aggressive, greedy, corrupt, merciless, remorseless, cold-hearted, smart and calculated.

Majitu maovu ndio huwa yanafanikiwa na kubarikiwa sana.

Hiyo milioni nane ungechukua ukanunue viwanja vitatu ujenge nyumba.
 
Mfano ni kikongwe asie jua kitu kuhusu mitandao ?
Mie sijui sasa, na uzuri ilishawahi nitokeaa, 670k ziliingia kwenye Halopesa angu kimakosaa,

Niliacha km ilivyo, zikapita week 2 kimyaa, nkaunga bundle la 30k, ikabaki 640k.

Siku ya 2 yake, eti mtu ananipigia kunieleza kuna hela imeingia kwangu kimakosa, nkakubali na nlimuambia nimetumia 30k, akasema iliyobaki hiyo nirudishie, nkamrudishiaaa.
 
Aweeeehhh..... mie sirudishi hata mia.
 
Inachukua muda sana kuipata. Hii ilinitokea mwaka Jana June - airtel wamechukua zaidi ya mwaka kuirudisha… tatizo likikuwa kwamba wamegawa number yangu Kwa mtu mwingine bila idhini yangu…Kwa kweli ni kero sana haya mambo ya mobile pesa
 
Majira yasambili usiku nilikuwa namtumia mtu pesa namba yake mwisho 250 akat ananitajia kichwa ikadabo badala ya 250 nikaandika 500 mbaya zaid jamaa wa 250 anaitwa ELIA najamaa wa 500 anaitwa ELIAS MOLLEL kwaiyo minikivyochek tu spelling zajina lakwanza ELIA minikatuma, jamaa akaondoka namimi nikaendelea nashuhuli zangu,asubuhi jamaa ananichek mbona hela haijafika nimeangalia hadi salio hakuna,nikapekua msg ndo nakuta nilikosea namba chap nikazuia muamala jibu likaja MTEJA HANA SALIO LAKUTOSHA nikasema apa nishapigwa ,nikampigia simu jamaa wa 500 akapokea masai safi,nikamuambia jana usiku nilikose namba nikatuma pesa kwako masai akaanza kunipiga maswali,
unaaitwa nani?
Upo wapi?
Unafaanya kasi gani?
Ulikuwa unamtumia nani? Pamoja nakumjibu maswali yake yote mwishoni masai akanikataa kuwa hajaona hela😂 nikamtumia msg yamuamala iliyorud kwangu bado masai akakataa katukatu NDOIKAWA ISHAKULA KWANGU IVO
 
Mie sijui sasa, na uzuri ilishawahi nitokeaa, 670k ziliingia kwenye Halopesa angu kimakosaa,

Niliacha km ilivyo, zikapita week 2 kimyaa, nkaunga bundle la 30k, ikabaki 640k.

Siku ya 2 yake, eti mtu ananipigia kunieleza kuna hela imeingia kwangu kimakosa, nkakubali na nlimuambia nimetumia 30k, akasema iliyobaki hiyo nirudishie, nkamrudishiaaa.
Hapo sioni tatizo kwako
 
Back
Top Bottom