Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
- Thread starter
- #101
Huyo alinyanyua miguu akaenda kuiba ila hapa tunaongea ni umekaa zako ata hujaomba mara neema hiyoo, sijakuomba unitumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alinyanyua miguu akaenda kuiba ila hapa tunaongea ni umekaa zako ata hujaomba mara neema hiyoo, sijakuomba unitumie
SawaHuyo alinyanyua miguu akaenda kuiba ila hapa tunaongea ni umekaa zako ata hujaomba mara neema hiyoo, sijakuomba unitumie
Kuto rudisha hela ya watu ni level ya kuto kua mstaarabu yani ni mwizi, ndio mana hii nchi asilimia 90 watu ni wezi ila tu hawajapata fursa ya kuiba, maendeleo kama nchi kupata ni ndoto labda maendeleo ya mtu mmoja mmoja.Happy Saturday viongozi,
Kwanza tuweke swala moja bayana hali ni ngumuuu, aisee maisha ni tight naona sio kwa muajiriwa au mfanya biashara ila nisiongelee wengine sema kwa cycle yangu kila mtu analia noki nimegundua nina cycle ya ajabu ata nikitaka laki 5 ya chap sina wa kuniazima dah.
Twende kwenye mada, hivi na hali hii wazee umekaa zako unakuna P weekend hii mara msg:
View attachment 3083338
Hiyo pesa imetumwa kimakosa, baada ya dakika simu inaita kuombwa kurudisha muamala.
Ukweli kutoka moyoni, utarudisha? Au kutafutiana lawama?
Kalaga Baho Nongwa mzee wa micro finance apo vp?
Una point mkuuKuto rudisha hela ya watu ni level ya kuto kua mstaarabu yani ni mwizi, ndio mana hii nchi asilimia 90 watu ni wezi ila tu hawajapata fursa ya kuiba, maendeleo kama nchi kupata ni ndoto labda maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Mkuu wa machimbo unazingua asee. Mimi nimewahi rudisha mara2 Hela ya wizi haifaiNyooo.. hela naihamisha na laini navunja
Wapare bana😁
Na utakuta lijitu lilikula hela ya watu iliyotumwa kimakosa na akatafutwa ili airudishe kagoma kesho yake anaona mwizi kaiba anajifanya na yeye anahisira anaokata mawe anamrushia mwizi.Una point mkuu
Kabisa mkuu uaminifu una tabia ya kufungua milango mingi ya neema , sitokaa nimdhulumu mtu hata mia mbovu .Na atanishukuru Sana.
Nakumbuka nilikuwa na biashara ya Duka lenye biashara ya muamala pia ndàni yake.
Akaja mteja, akasema nimuwekee 14k Sasa Mimi sijui ilikuwaje nikaweka 140k. Sikujua.
Jioni kwèñye mahesabu nashangaa kûna upungufu kama WA 126k.
Tafuta Wapi, fungua droo wapi. Nikasema labda nimeziweka kwèñye shelves ambako nafichaga maana Pesa zingine nazoachaga dukani nafichaga Nyuma ya shelves. Hollaaa!
Nikasema labda niliziacha nyumbani. Narudia nyumbani sehemu napo fichaga. Hollah. Duuh!
Nikakata tamaa, nikahesabu nimepata Hasara ambayo kuifidia ingenichukua Siku tisa au Kumi kwani kipindi kile kwèñye miamala tuu Kwa Siku wastani nilikuwa napata 10k mpaka 12k nje y biashara zingine.
Kesho yake naenda Dukani, nikiwa nafanya Usafi nikatafuta tenà na tena 126 yàngu. Wapi. Nikakata tamaa.
Baadaye jioni hivi akaja Dada mmoja anayeendesha Harrier Tako la Nyani akiwa na miwani Yake. Akashuka Kwa gari akaja pale Dukani.
Sikuwa namjua Sana yàani siô mteja wàngu wa mara Kwa mara.
Akanisalimu nami Kwa uchangamfu sijambo, Basi akawa anacheka mwenyewe.
Akaniuliza swali, kîla kitu kiko Sawa.
Nikamjibu, Yeah! Huku Akili yàngu ikijaribu kuhusianisha kauli hiyo na Mada zilizopita.
Akaniuliza, unahakika?
Hapo Akili yàngu Kwa upesi ikakumbuka Ile Pesa 126k. Hapo akaniona uchangamfu umepotea.
Nikamwambia ndîo, Kisha nikamuuliza why kuniuliza swali hilo. Akaniambia kama Hakuna tatizo Basi.
Nikatulia wewe.
Mwisho akafunguka kuwa,
Jana alituma mdada wa Kazi kuja kuweka Pesa Hapa kwangu. Na yeye humtumia huyo mdada, akawa anajaribu kunielekeza huyu Dada alivyo, pia huku akijaribu kuonyesha kuwa yeye NI mteja wàngu wa Muda mrefu. Nikamkumbuka Yule Binti.
Akasema alimuagiza niweke 14k kwèñye Namba Yake(boss aliyemtuma), akashangaa imeingia 140. Akajua nitakuwa nimekosea.
Akasema yeye NI mfanyabiashara Kariakoo anajua jinsi ilivyokuwa Kazi kupata hiyo faîda hasa Kwa biashara kama yàngu àmbayo mtaji ulikuwa Milioni tatu Mpaka tano.
Akaniambia, Moja ya mambo yaliyomfanya aje kunirudishia hiyo Pesa NI tàbia yàngu ya kuwahi kufungua Saa Moja na kuchelewa kufunga Saa nne maduka ya Eneo Hilo mengi yamekuwa yamefungwa.
Ati hicho ndicho Kilimpa Imani na kuingiwa na huruma ya Kurejesha hizô Pesa.
Nilimshukuru Sana. Tukawa marafiki na baadhi ya Mizigo nikawa nachukulia kwàke.
Kiongozi kwa kauli hizo huna shida ndogo ndogo kabisa uko well off 🙌Sasa 1m ni hela ya kukataa kurudisha, hata ikosewe 200m narudisha maana sio haki yangu
Tena wanasema hela ya mama ntilie ndo laana kali mtu anakukuruka sa 10 kuanza kupika unakimbia na buku jero yakeMkuu wa machimbo unazingua asee. Mimi nimewahi rudisha mara2 Hela ya wizi haifai
Shida sio wewe maana hamna aliyeumbwa na roho mbaya, ni malezi, umasikini na matendo uliyotendewa na jamii ndio vimekushape hivyoHapo ntakimbia kwa wakala kama mbwa koko, naenda kuitoa huku moyo unatweta kwa mapigo ya mwendokasi NDIIIIIIHHH NDUUUUUHHH NDIIIIHHH NDUUUUUHH NDIIIIIIIHH NDUUUUUHH
Niirudishe ili iweje? Kwa utakatifu gani nilionao?
Nani kasema nataka kwenda mbinguni?
Bora niende motoni lakini nimeshakula kuku na kitimoto.
Sema wizi kuepuka kabisa?? makazini watu wanajiongeza sana na bado ni wizi, serikalini?Na utakuta lijitu lilikula hela ya watu iliyotumwa kimakosa na akatafutwa ili airudishe kagoma kesho yake anaona mwizi kaiba anajifanya na yeye anahisira anaokata mawe anamrushia mwizi.
Hata kama una njaa, hiyo fedha unayoiona ni kivuli, hauwezi kuwithdraw.Asante mtumishi, ila hauna njaa wewe
Acha bas.. mkuu sina hela kipindi hikiMkuu wa machimbo unazingua asee. Mimi nimewahi rudisha mara2 Hela ya wizi haifai
Kabisa mkuu uaminifu una tabia ya kufungua milango mingi ya neema , sitokaa nimdhulumu mtu hata mia mbovu .
Safi ni mbinu ya kupima hekima ya mtuHapo Mimi nitamwambia anipe 10k akikubali sichukui. Akikataa nachukua kimabavu
yani mimi sio muungwana wa kurudisha na bahati mbaya sijawah kupata mtu akasahau akarusha hela kwangu kimakosa it doesnt matter nani amerusha hata angekuamama yangu mzazi angepigwa tu ubaya ubwela!!Msiwe mnalalamika sasa mkiona pesa za miradi zinapigwa na viongozi 😊
😁😁😁😁😁 wew ni noumayani mimi sio muungwana wa kurudisha na bahati mbaya sijawah kupata mtu akasahau akarusha hela kwangu kimakosa it doesnt matter nani amerusha hata angekuamama yangu mzazi angepigwa tu ubaya ubwela!!
kuna siku mwenzangu alitumiwa hela kimakosa bahat nzuri alikua anaezima sim ile kuwasha muamala unasoma ametumiwa laki na thrlathini na sita yan mm nilikua namwambia tuitoe tuile mwenzangu hapana sio vizur mpaka muamala ukarudishwa yan nikamwambia angekua n mm agekua hana bahati😁😁😁😁😁 wew ni nouma