Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

Majira yasambili usiku nilikuwa namtumia mtu pesa namba yake mwisho 250 akat ananitajia kichwa ikadabo badala ya 250 nikaandika 500 mbaya zaid jamaa wa 250 anaitwa ELIA najamaa wa 500 anaitwa ELIAS MOLLEL kwaiyo minikivyochek tu spelling zajina lakwanza ELIA minikatuma, jamaa akaondoka namimi nikaendelea nashuhuli zangu,asubuhi jamaa ananichek mbona hela haijafika nimeangalia hadi salio hakuna,nikapekua msg ndo nakuta nilikosea namba chap nikazuia muamala jibu likaja MTEJA HANA SALIO LAKUTOSHA nikasema apa nishapigwa ,nikampigia simu jamaa wa 500 akapokea masai safi,nikamuambia jana usiku nilikose namba nikatuma pesa kwako masai akaanza kunipiga maswali,
unaaitwa nani?
Upo wapi?
Unafaanya kasi gani?
Ulikuwa unamtumia nani? Pamoja nakumjibu maswali yake yote mwishoni masai akanikataa kuwa hajaona hela😂 nikamtumia msg yamuamala iliyorud kwangu bado masai akakataa katukatu NDOIKAWA ISHAKULA KWANGU IVO
Ilitakiwa umwambie wewe mjeda ai fid force ashawishike kurudisha 😂😂
 
Kama nakuona umepanda juu ya meza na filimbi mdomoni mpasuo hadi kunako unacheza piano 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kuna jamaa nilikosea elfu 15 ile kumpigia akanambia bro nisamehe siwezi rudisha pesa hii nina njaa mbaya ila save namba yangu nikiwa powa ntakurejeshea

tuliwasiliana kama miezi 4 akaja nirejeshea 50k, tumeendelea wasiliana hadi kuja kuonana alipo pata kazi mkoa jirani
 
Kuna mwamba kasema anafanya mchakato wa kubadili line muda huo huo ila pipoo 😂😂
Huyo ni pacha wangu,niliwahi pata laki moja mapema kama saa one hivi,nikahamisha line nyingine fasta,kama kunipigia saa kumi na mbili jioni nikasema samahani kaka nilishatumia nilidhani kuna mtu namdai kanitumia,nivumilie nitakurudishia ....hakupiga tenaaa...basi nikafanya kitubio siku zikapita
 
Mstaarabu sana jamaa
downloadfile-15.jpg
 
Huyo ni pacha wangu,niliwahi pata laki moja mapema kama saa one hivi,nikahamisha line nyingine fasta,kama kunipigia saa kumi na mbili jioni nikasema samahani kaka nilishatumia nilidhani kuna mtu namdai kanitumia,nivumilie nitakurudishia ....hakupiga tenaaa...basi nikafanya kitubio siku zikapita
Nasadiki kusema kitubio kilikua batili, nisamehe kwa hilo 😂😂
 
Back
Top Bottom