Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

Mimi Kuna siku ilitumwa kimakosa laki saba ikabidi niirudishe Kwa namba iliyotuma pasipo kunipigia mhusika.baada ya mu kutumia mhusika akanipigia kushukuru na akasema anipe laki kama shukrani nikwamwambia aache kunirudishia chochote maana hiyo ilikuwa ni Bahati mbaya
 
Wewe ni tajiri mwanangu sie wa vipato vya laki tunaishi na ganji yetu mapema sana atapa lakini siyo atakayotaka
 
Back
Top Bottom