Ustadhi: Ndoa nyingi za Kikristo zinadumu kuliko za Kiislam

Ustadhi: Ndoa nyingi za Kikristo zinadumu kuliko za Kiislam

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ustadhi anasema kutokana na Experience yake ndogo kwenye ndoa; amengundua kuwa ndoa nyingi za kikristo hudumu kuliko ndoa za kiislam na hii inatokana na wanaume wengi wanakimbilia kuoa wanawake wengi na kipato ni kidogo. Unakubaliana nae?
 
Ndoa za kiislamu ukitamka mara tatu talaka si mke/mume wangu biashara imeishia hapo..!!

Na unaweza kumtumia talaka mtalaka wako hata kwenye bus imfikie. Ndiomana wana ndoa za uji nyingi na za mkeka..!!
Na ndio mana hata watoto wetu wa kiislam wengi hawaendi vizuri kimasomo continously kwasababu wanaathirika kisaikolojia pale wazazi wanapotengana, Mie Mwislam na nimelisema hili mara kadha wa kadha hasa Zanzibar hii
 
Mkristo akiachika kuolewa ni mbinde, wanavumiliana ila upande wa pili ni chap.

Kuna shangazi yangu yupo ndoa ya 5, ni kuolewa na kuachika/chana tu.
 
Na ndio mana hata watoto wetu wa kiislam wengi hawaendi vizuri kimasomo continously kwasababu wanaathirika kisaikolojia pale wazazi wanapotengana, Mie Mwislam na nimelisema hili mara kadha wa kadha hasa Zanzibar hii
Siku zote waathirika wakubwa wa wanandoa kuachana ni watoto.
Hizo sheria inabidi mzipitie tena!

Ndoa ambayo unaweza kutamka maneno ikavunjika ni ngumu sana kusurvive sababu wote mnaishi kwa jeuri kwamba nitaoa au nitaolewa tena nikiachika..!!
 
Ndio ya kikristo ina maagano makali madhabahuni, ikitamkiwa tu alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe, imetoka hiyo. jichanganye uache mwenzako hakuna rangi utaacha kuona
 
Waislam talaka iko wazi sana, halafu wanaruhusu mtu aoe wake wengi. Sasa mtu ana wake wengi kuacha mmoja si shida. Mifumo yao ya ndoa si imara
 
Mnachukulia kumudu wanawake 3 wakati m1 ni easy .

Especially kule kwenye mechi dk90 kwa kila uwanja, How ?

Hata John sinn dk za mapema tu angerusha taulo jeupe.

Shekhe yuko sahihi 100%
 
Back
Top Bottom